Kutembea na house girl

Ngomo

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
200
95
Kumekuwepo na malalamiko ya akina mama siku hizi kwa waume wao kuwa na mahusiano na ma house girl wao. Je tatizo ni wao kutotimiza wajibu wao au ni tamaa tu za wanaume nipeni jibu
 
Sidhani kama ni tamaa za wanaume ni kama ugonjwa wa akili, kwasababu kutembea na house girl ni zaidi ya tamaa, hebu fikiria hata kama una tamaa kuna wanawake wangapi nje ya nyumbani kwako? Hii haina tofauti na kutembea na bint yako alafu iitwe tamaa????????????
 
sidhani kama ni tamaa za wanaume ni kama ugonjwa wa akili, kwasababu kutembea na house girl ni zaidi ya tamaa, hebu fikiria hata kama una tamaa kuna wanawake wangapi nje ya nyumbani kwako? Hii haina tofauti na kutembea na bint yako alafu iitwe tamaa????????????

kwa hiyo wanayo fanya haya mambo wakapimwe akili
 
NA wake zetu nao wanachangia,kila siku mke anakuambia amechoka,hana hamu,kwa nini housegirl asipewe promotion?
 
Sidhani kama ni tamaa za wanaume ni kama ugonjwa wa akili, kwasababu kutembea na house girl ni zaidi ya tamaa, hebu fikiria hata kama una tamaa kuna wanawake wangapi nje ya nyumbani kwako? Hii haina tofauti na kutembea na bint yako alafu iitwe tamaa????????????

Salute Mkuu. Wanadai eti ni kwa sababu housegirls wanaachiwa majukumu mengi ya nyumbani. Sie kwetu tulizaliwa mabint watatu, tangu tumekuwa na uwezo wa kufanya kazi mama yetu alikuwa anatuelekeza tu nini cha kufanya nasi tunatimiza yoote. Kuaznia kupika, hadi kufua kwa kupeanan zamu tu? Je, nasi tungepaswa kufanyiwa kama mnavyowafanyia housegirls kwa sababu tu tunafanya majukum yoote ya nyumbani?
 
Hakunaga tatizo linalo weza justify cheating bwana,
acheni kujitafutia sababu ha kuwasaliti wake zenu
Kama mke hatimizi wajib si umwache ukamuoe HG?
 
Salute Mkuu. Wanadai eti ni kwa sababu housegirls wanaachiwa majukumu mengi ya nyumbani. Sie kwetu tulizaliwa mabint watatu, tangu tumekuwa na uwezo wa kufanya kazi mama yetu alikuwa anatuelekeza tu nini cha kufanya nasi tunatimiza yoote. Kuaznia kupika, hadi kufua kwa kupeanan zamu tu? Je, nasi tungepaswa kufanyiwa kama mnavyowafanyia housegirls kwa sababu tu tunafanya majukum yoote ya nyumbani?

hili la akili linamantiki kidogo kwasababu mtoto wako wa kumzaa naye anaweza akawa anafanya majukumu yote still usimfanye kitu chochote
 
Kumekuwepo na malalamiko ya akina mama siku hizi kwa waume wao kuwa na mahusiano na ma house girl wao. Je tatizo ni wao kutotimiza wajibu wao au ni tamaa tu za wanaume nipeni jibu

House girl anapo chukua jukumu la mama mwenye nyumba basi baba ana haki ya kuomba hata mchezo wa 6x6
 
Salute Mkuu. Wanadai eti ni kwa sababu housegirls wanaachiwa majukumu mengi ya nyumbani. Sie kwetu tulizaliwa mabint watatu, tangu tumekuwa na uwezo wa kufanya kazi mama yetu alikuwa anatuelekeza tu nini cha kufanya nasi tunatimiza yoote. Kuaznia kupika, hadi kufua kwa kupeanan zamu tu? Je, nasi tungepaswa kufanyiwa kama mnavyowafanyia housegirls kwa sababu tu tunafanya majukum yoote ya nyumbani?

Ni uenda wazimu kama siyo imani za kishirikina tu
 
House girl anapo chukua jukumu la mama mwenye nyumba basi baba ana haki ya kuomba hata mchezo wa 6x6
Kwa hiyo mchezo wa 6X6 ni reward kwa kazi mama anazo zifanya mchana, sio?
anae fanya kazi, mwisho wa siku unampa mshahara wake kwa game ya 6X6?
 
Ni tabia ya KIZINZI ya waume zetu, kuna wanaume wangapi duniani ambao wanakuwa ndani ya nyumba ambazo zina mahouse girls,! hii ni tabia ya mtu na mtu, mwanaume mwenye kujiheshimu na kushinda nafsi yake kamwe hawezi kufanya haya! mwanume wa namna hiyo anaweza kumuingilia hata mtoto wake wa kumzaa awe wa kike au wa kiume! hao hakuna house girl kuachiwa wala nini! tabia tu !
 
Ni ujuha,ulimbukeni na upuuzi kulala na beki tatu wako.. utafikiri ulilazimishiwa mke bwana?

Its unjustifiable aisee..
 
Kwa hiyo mchezo wa 6X6 ni reward kwa kazi mama anazo zifanya mchana, sio?
anae fanya kazi, mwisho wa siku unampa mshahara wake kwa game ya 6X6?

Hapa ni kuhalalisha uchafuzi wa mazingira. Mie nauita uchafuzi wa mazingira, kwani mtu hachagui pa kumwaga uchafu wake, hawatofautiani na wanaokojoa barabarani, huku choo kipo hatua chache tuu kutoka mahali alipo
 
Back
Top Bottom