Kutekwa Kwa Ulimboka Ili Kujilinda Tutembe na Mabaunsa/au kwa makundi? ya kidini/kikabila/kiujirani

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,386
4,046
Hivi serikali yetu sikivu inataka sisi wananhi tufanye ili kujilinda kutekwa iwe na Polisi wa ukweli au waungo? tukitaka kushikwa na Polisi tugome au tu resist arrest? au tupigane maana imekuwa taabu kidogo kutofautisha Polisi anaye ku-arrest kwa jambo la kweli au ndio hivyo kwa jambo lisilo rasmi
 
Hivi serikali yetu sikivu inataka sisi wananhi tufanye ili kujilinda kutekwa iwe na Polisi wa ukweli au waungo? tukitaka kushikwa na Polisi tugome au tu resist arrest? au tupigane maana imekuwa taabu kidogo kutofautisha Polisi anaye ku-arrest kwa jambo la kweli au ndio hivyo kwa jambo lisilo rasmi
Mkuu kama una wasiwasi kwamba wataku-ulimboka naomba ajira ya u-bodyguard kwako. Nina hakika utakuwa salama siku zote kwani hakuna atakayethubutu kukuteka wewe. CV yangu ni picha yangu hapo juu.
 
Ukiambiwa " Uko chini ya ulinzi tunakupeleka kituo cha polisi" Kimbia ufe! au pigana kufa kupona hapo ulipo !
Uwezekano ni mkubwa ukapelekwa Msitu wa Mabwepande kung'olewa kucha kwa plaizi!

Nchi yetu ina Binadamu wanyama waliowazidi wanyama wenyewe!
 
yani saivi sijui nani polisi wa kweli na nani wa uongo, kila mtu atafute bastola wakikufuata ni ama zao au zetu
 
Wananchi hawachelewi kutafuta njia za kupambana na hijack na arrest za namna hiyo...si mnajua law of the jungle ....everyone looks for means to survive
 
Hivi serikali yetu sikivu inataka sisi wananhi tufanye ili kujilinda kutekwa iwe na Polisi wa ukweli au Reply With Quotewaungo? tukitaka kushikwa na Polisi tugome au tu resist arrest? au tupigane maana imekuwa taabu kidogo kutofautisha Polisi anaye ku-arrest kwa jambo la kweli au ndio hivyo kwa jambo lisilo rasmi

Kwanini unataka kujilinda kwa kuigopa serikali if the whole population took those measures who'd protect who. We acha tu usalama wako chini ya polisi unless your bound to annoy many yakikukuta ndio zitaanza conspiracy theories who harmed August. In the case of our Dr. Ulimboka, dude managed to annoy many in a short space of time it is not fair to point a finger at one angle.

I suggest you watch who killed Jessica Rabbit this sunday with the family or better still since its Sunday i recommend you relax by reading and investigating about this annoying character who managed to annoy many in his life time Thomas Cromwell - Wikipedia, the free encyclopedia

Have a blessed day
 
Wale mabingwa wa WUSHU na TAIKWOND wafungue vituo tuanze kufanya mazoezi ya kujihami maana hii sasa imekuwa balaa. Wakijidai kukufuata unawashushia kipigo heavy. Wakuu hali siyo hali tuanzeni kujifua ki-sawasawa nchi ya M'kwere haieleweki sasa hivi na ukizingatia Rais mweyewe dhaiiiiiiiiiiiiiiifu
 
Back
Top Bottom