Tatizo la kutapika safarini (Motion Sickness)- fahamu chanzo, tiba na kinga ya tatizo hili

MKUNGA

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
441
71
1594017397160.png

BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI

SALAM,

Hivi, nini chanzo cha kutapika safarini kwa watoto na watu wazima? Jee kuna kinga ama kinga yoyote?
Msaada tafadhali.
---
Wakuu salamu,

Naomba msaada ni nini kinasababisha mtu kutapika akiwa safarini? Nina kijana wangu kila akisafiri lazima atapike, hata kama sii mgonjwa. Na hiyo imempelekea kutokunywa kitu chochote au kula pindi anaposafiri, ila pamoja na kutokula kitu atatapika maji, shida ni nini? Anaweza kusaidiwaje?

Karibuni
---
Wakuu nimekuwa najiuliza sana hili jambo la watu kutapika wakiwa safarini haswa kwenye mabasi ya mikoani
Napenda kujua chanzo, tiba kama ipo.

NB leo nimeshuhudia hili ndo mana nimeuliza

UFAFANUZI WA KITAALAMU WA TATIZO HILI
Niwengi wamekua wanasumbuliwa na hili tatizo la kutapika au kichefuchefu hasa wanapoianza safari tu, wakiwa kwenye basi, ndege au usafiri wa majini., WENGINE hata hawataki kusafiri tena hasa wakitafakari juu ya hili, ushawahi kujiuliza ni kwanini na je jinsi gani unaweza jizuia. leo gammaLOVE tunakusaidia.

Ugonjwa huu kwajina la kitalamu unaitwa MOTION SICKNESS ni mvurugano unaotokea katika sikio la ndani. Inasababishwa na mwendo wa mara kwa mara kutoka kwa gari au harakati zingine zinazo athiri sikio la ndani.

niwengi wamekua wanasumbuliwa na hili tatizo la kutapika au kichefuchefu hasa wanapoianza safari tu, wakiwa kwenye basi, ndege au usafiri wa majini. ushawahi kujiuliza ni kwanini na je jinsi gani unaweza jizuia. leo gammaLOVE tunakusaidia.

Ugonjwa huu kwajina la kitalamu unaitwa MOTION SICKNESS ni mvurugano unaotokea katika sikio la ndani. Inasababishwa na mwendo wa mara kwa mara kutoka kwa gari au harakati zingine zinazo athiri sikio la ndani.

Watu wengine hupata kichefuchefu na hata kutapika wanapokuwa katika gari la ndege, magari, au pumbao.

JINSI INAVYOTOKEA.
Dalili za ugonjwa wa mwendo ni pamoja na kichefuchefu, kutapika, na kizunguzungu.

Je! nini Husababisha ugonjwa huu?
karibu juu ya sikio la mans
Ugonjwa wa mwendo unafikiriwa unasababishwa na ishara zinazopingana ndani ya sikio la ndani, macho, na majibu ya hisia. Mwendo huhisiwa na ubongo kupitia njia mbalimbali za mfumo wa neva ikiwa ni pamoja na sikio la ndani, macho, na tishu za uso wa mwili.

Wakati mwili unapohamia kwa makusudi,

Kwa mfano, ikiwa mtu ameketi juu ya mashua au kwenye gari (si Huangalia nje ya dirisha), masikio yao ya ndani yanaweza kusonga mbele na chini, kushoto na kulia, lakini macho yao wanaona mtazamo TULIVU, kama sio kusonga wakati wote.

DALILI ZA UGONJWA WA SAFARI (MOTION SKIKNESS)
Dalili kubwa ni pamoj
a na: kichefuchefu , kutapika, pallor,jasho,kushuka,pumzi fupi,kizunguzungu,usingizi
Ishara nyingine za kawaida ni:
jasho.hisia ya jumla ya usumbufu,si kusikia vizuri (malaise)
Dalili za dhati zimewekwa kama:

Matukio ya ugonjwa wa mwendo

Dalili zenye kudharau za ugonjwa wa HUU husababisha kawaida wakati mwendo unasababisha. Lakini hii sio kweli siku zote. Kuna watu ambao wanakabiliwa na dalili kwa siku chache baada ya safari hiyo imeisha. Watu wengi ambao wamekuwa na ugonjwa wa mwendo katika siku za nyuma walimwomba daktari jinsi ya kuzuia wakati ujao.

YAWEZAYO KUKUSAIDIA gammaLOVE
Kuangalia upeo wa macho

Pendekezo moja la kawaida ni kuangalia tu nje ya dirisha la gari linalohamia na kutazama kuelekea upeo wa kuelekea kwa usafiri. Hii husaidia kurekebisha tena hisia ya ndani ya usawa kwa kutoa uhakikisho wa kuona wa mwendo.

Kufumba macho na kuinama
Usiku, au katika meli bila madirisha, ni muhimu kufumba tu macho yake, au ikiwa inawezekana, piga. Hiihupunguza mvurugo katika sikio la ndani.

kutafuna jojo katika gari,au pipi
ni njia rahisi ya kupunguza ugonjwa wa mwendo.
Njia rahisi ya kuondokana na ugonjwa wa kawaida na wa kawaida wa gari ni kutafuna.

.Hewa safi
kaa dirishani.Fresh, hewa baridi pia inaweza kupunguza ugonjwa wa mwendo kidogo, ingawa inawezekana hii inahusiana na kuepuka harufu mbaya, ambayo inaweza kuwa mbaya zaidi kwa kichefuchefu.

MATIBABU KWA KUTUMIA DAWA

gammaLOVE leo tunakuletea dawa mbalimmakati wasafari, ni vizuri kutumia kabla ya safari kutumia kabla ya safari kuanza.

1.Scopolamine
- dawa ya kawaida iliyowekwa kwa ugonjwa wa mwendo. Inapaswa kuchukuliwa kabla ya dalili kuanza..

2.Promethazine - inapaswa kuchukuliwa masaa 2 kabla ya kusafiri. Madhara hupita saa 6-8.
.
3. Cyclizine - inafaa sana wakati kuchukuliwa angalau dakika 30 kabla ya kusafiri. Haipendekezi kwa watoto chini ya 6,.

5.Dimenhydrinate - kuchukuliwa kila masaa 4-8.

6.Meclizine (Bonine) - inafaa zaidi wakati ilichukuliwa saa 1 kabla ya kusafiri.

Jinsi ya kujizuia kutapika safarini
Kitendo cha kutapika kinaweza kumtokea mtu yoyote na hii huchangiwa na hali ya hewa inapoingiliana na utokea kwa wasafiri wa majini na nchi kavu, pia hutokea mara nyingi kwa mtu ambaye hakuwahi au hajawahi kusafiri umbali mrefu.

Ili uweze kuzuia hali hii uwapo sfarini basi huna budi kuepuka kula ovyo kabla ya kuanza safari na ndani ya safari, pia usile kula vitu vyenye sukari nyingi kwani vinaweza kuharibu koo lako kutoka na sukari kuzidi.

Vile vile unashauriwa kuweka njiti ya kiberiti mdomoni ili kuzuia kutapika, na kama hitoshi lamba ndimu kila wakati kwani inakata kichefuchefu na kutapika haraka.

Hivyo vyote vikashindikana na ukaona unahitaji kutapika basi muite muhudumu wa usafiri huo, ili akupatie mfuko wa rambo uweze kutapikie humo na ukimaliza hakikisha unafunga vizuri na kuweka sehemu husika na baada ya hapo safisha kinywa chako kwa maji safi na salama.

BAADHI YA NA USHAURI ULIOTOLEWA NA WADAU WA JF
Pamoja na hayo kuna vitu vingine huwa vinasababisha mtu atapike njiani.

1. Ukiwa na maleria mwilini
Mara nyingi ukiwa na maralia mwilini theni ukasafiri ile mitikisiko hufanya mtu atapike

2. Ukiwa na nyongo nyingi sana mwilini.

HII NDO SABABU KUU KULIKO ZOTE ZINAZO FANYA WATU WATAPIKE WAKATI WA KUSAFIRI, UKIWA NA KIWANGO KIKUBWA CHA NYONGO MWILINI NI LAZIMA UTAPIKE WAKATI WA KUSAFIRI, NYONGO HAIPATANI NA MTIKISIKO WA AINA YOYOTE ILE NA SI KWENYE BASI TU, HATA UKIPANDA GARI DOGO,

Mfano: Kukiwa na Mabampusi mengi njiani na katika eneo moja mfano kwenye madaraja, ule mtikisiko wa Mabampusi razima utapike kama unakiwango kingi cha nyongo

- TIBA YA HII, KABULA YA KUSAFIRI HAKIKISHA UNAONDOA NYONGO YOTE MWILINI, KUNA DAWA NYINGI SANA ZA KUONDOA NYONGO, UKIONDOA NYONGO UTASAFIRI BILA TATIZO LOLOTE HATA KAMA UKILA KIASI GANI

- Ulaji wa vyakula si tatizo, ila Ukiwa na kiwango kingi cha nyongo mwilini hata usipo kula kitu razima utapike- HUWA INATIBULIWA NA MITIKISIKO, HATAUKIKIMBIA UMBALI MFREFU KAMA UNANYONGO NYINGI UTATAPIKA.

3. KWA AMBAO HAWANA TATIZO LA NYONGO ILA WAKISAFIRI WANATAPIKA,

- Usinywe chai ya Maziwa wakati wa kusafiri, maziwa huwa nayo hayapatani na mitikisiko tumboni

- Usitumie vitu vyenye sukari nyingi

- Hakikisha madirisha yako wazi, Hewa ikiwa nzito nayo husababisha mtu atapike
---
Motion, nerves na harufu ya mafuta ya gari,

Na mimi nilikua hivyo hivyo. Nwy dawa ya kutotapika (sio kujisikia vibaya) ni kutokula sana kabla ya safari na wakati wa safari, especially vitu vitamu vitamu na liquid.

Mnaweza mkatembea na limao awe analamba lamba akianza kujisikia vibaya, safirini akiwa amechoka ili alale(hii ni nzuri sana), kaeni sehemu ambayo.hatingishwi sana na gari au anaweza akatafuna kitu kikavu kikavu ili mate yasimjae mdomoni. Binafsi mahindi ya kuchoma hua napenda sana.

Ohh na kunywa maji ya baridi sana kunaweza kusaidia.
Hizi ni njia ambazo nilitumia na nnaendekea kutumia nikiwa sijisikii vizuri wakati wa safari, might not work for you.
---
Kichefu chefu au kutapika wakati uko safarini sio maradhi. Inakuwa hivyo sababu ya mishipa ya fahamu katika masikio yako iko very sesitive kwa changes za posture na altitude. HHamna mazoezi au tiba unayoweza kufanya. Kuna kinga nzuri ambayo umei elezea kuwa umetumia lakini haikukufaa.

NOSIC: Hii inakupasa uitumie usiku kabla ya siku ya safari ili ikusaidie mwanzoni mwa safari na punde uanzapo safari. Tumia hivi. Vidonge viwili usiku kabla ya safari na kimoja ukisha anza safari. Ukitumia hivi nina uhakika itakusaidia.
---
Nionacho tumbo huchafuka zaidi kwenye rough roads, mfano Nzega-Tabora, Mwanza/Shinyanga-Bariadi, Mwanza-Kigoma/Mbeya, Mbeya-Sumbawanga/Mpanda etc. Katika barabara za lami michafuko ya tumbo hutokea nadra kulinganisha na rough roads.

Nimekuwa nikisafiri mara nyingi kwa bus na hata nikiwa self driving...akina dada ndio huongoza kwa kulakula hovyo njiani, na hii huwa ni hali mithili ya kujionyesha mbele za wengine. Nimeshuhudia dada 1 nikiwa safarini Nzega akila mishikaki na chipsi na juice, chini ya kilometa 10 akaanza kusimamisha bus akajisitiri.

NIFANYACHO: Binafsi hujiepusha kula vyakula vyenye vimiminika njiani, badala yake hupendelea kunywa maji, soda na aidha slices za breads. Vyakula hivi hunisaidia sana kwani huwa nasumbuliwa sana na tumbo nje ya safari, na husitirika na matumizi ya aina hii ya vyakula.
---
MOTION SICKNESS
PROMETHAZINE ambayo kwa jina la kiwandani pia huitwa PHENEGAN ni dawa ya kuzuia kemikali za histamine. ambazo kimsingi kemikali hizo hizo zinatibua eneo la ubongo na kukufanya utapike. tumia dawa hizo kabla ya safari haijaanza.

Pia dawa hiyo ni nzuri kujitibu ukiudhika "kuchefuka roho" a.k.a kuwa moodless, inakusaidia ku calm down.
---
Ni Motion sickness au Car sicknesses, hii utokana na ubongo kuchanganyikiwa yaan kutokuelewa taarifa ipi ni sahihi koz macho hupeleka taarifa kua upo kwenyw motion na sikio (inner ear) hupeleka taarifa kua upo still, nakumbuka pia ndo huusika kwenye maswala ya balance.

So ubongo unatibuliwa na ndipo unaanza kusikia kuzungu zungu, kichefchef na mwshoe wengine hutapika.
Mtu yeyote anaweza akapatwa na motion sickness lakini kunawengine ni rahisi kupata,mf. Kwa wanawake pindi wakiwa na ujauzito, Au watu wanaosumbuliwa na kipanda use(migraine) na watoto kuanzia miaka 3-12.

Kama ukiwa kwny gari na ukianza kuhisi dalili jitahidi kufunga macho,Pata hewa(fungua dirisha),Relax(mf.kwa kusikiliza mziki) pia stay calm.

Kabla ya safari na unajijua unatatizo hilo hakikisha unakunywa dawa(nenda pharmacy na ulizia motion sickness medicine),na pia utafune tangawizi.

PIA UNASHAURIWA KUSOMA MADA HII:
=> Dawa ya ajabu ya kuzuia kutapika niliyokutana nayo kwenye basi
 
Usile sana. jitahidi kutembea na mfuko wa rambo kwa dharula. kesho unasafiri nini? Mia
 
Motion, nerves na harufu ya mafuta ya gari,

Na mimi nilikua hivyo hivyo. Nwy dawa ya kutotapika (sio kujisikia vibaya) ni kutokula sana kabla ya safari na wakati wa safari, especially vitu vitamu vitamu na liquid.

Mnaweza mkatembea na limao awe analamba lamba akianza kujisikia vibaya, safirini akiwa amechoka ili alale(hii ni nzuri sana), kaeni sehemu ambayo.hatingishwi sana na gari au anaweza akatafuna kitu kikavu kikavu ili mate yasimjae mdomoni. Binafsi mahindi ya kuchoma hua napenda sana.

Ohh na kunywa maji ya baridi sana kunaweza kusaidia.
Hizi ni njia ambazo nilitumia na nnaendekea kutumia nikiwa sijisikii vizuri wakati wa safari, might not work for you.
 
Pole sana kama huwa unatapika ila dawa siijui. Halafu hili jambo naona linawatokea hasa wanawake maana sijawai kuona midume ikitapika.
 
Wengi wanasumbuliwa na hali kama hiyo safarini,isitoshe ni kero kwa wengine na usumbufu!Harufu ya mafuta ya gari,hewa nzito ndani ya gari, ukosefu wa oxygen na harufu ya watu husababisha mtu kupata au kujisikia kichefu chefu na kutapika!dawa rahisi ni kujitahidi kusinzia na kulala ukiwa unasafiri, jaribu pia kumeza dawa ya usingizi kabla ya kusafiri! Usile ovyo na jaribu kupata hewa safi kwa kufungua madisha ya gari!
 
Dawa ya Kuzuia usitapike hovyo safarini ni kama ifuatavyo :Tafuta shilingi kumi au lile gome la shilingi tano za zamani, na kila unaposafiri unaishikiria mkononi kwa kuiweka na kufunga mkono mfano wa ngumi, basi nakwambia utafika hadi unapoenda bila kuhisi kichefuchefu au kutapika, hata kama ulikula hadi ukavimbiwa.

Njia nyingine kama wewe lahizo hapo juu na unaifunga kwenye moja ya pindo lahizo hapo juu na unaifunga kwenye moja ya pindo lako la kanga basi hutatapika hadi unafika safari yako. Hii ni dawa alokuwa akiitumia marehemu bibi yangu Mungu amlaze mahali pema peponi.:lol:
 
Dawa ya Kuzuia usitapike hovyo safarini ni kama ifuatavyo :Tafuta shilingi kumi au lile gome la shilingi tano za zamani, na kila unaposafiri unaishikiria mkononi kwa kuiweka na kufunga mkono mfano wa ngumi, basi nakwambia utafika hadi unapoenda bila kuhisi kichefuchefu au kutapika, hata kama ulikula hadi ukavimbiwa...

Mh! Hapa kuna kitu veri veri serious. Una uhakika hilo gome alilotumia lilikuwa la kawaida, fanya utafiti. Unaweza kukuta lilifanyiwa upembuzi yakinifu na wangwana ndio likawa dawa.
 
Dawa ya Kuzuia usitapike hovyo safarini ni kama ifuatavyo :Tafuta shilingi kumi au lile gome la shilingi tano za zamani, na kila unaposafiri unaishikiria mkononi kwa kuiweka na kufunga mkono mfano wa ngumi, basi nakwambia utafika hadi unapoenda bila kuhisi kichefuchefu au kutapika, hata kama ulikula hadi ukavimbiwa...l:

Ni mambo ya kiimani zaidi tatizo ni pale imani anaposhindwa kufanya kazi,inanikumbusha mzee mmoja urambo kwa sitta mzee mmoja alichanjwa dawa ya kutoonekana (bowija) ili watoza kodi wakija wasimuone maana alikuwa mfugaji wa mifugo mingi.

Baada ya siku kadhaa jamaa wakaja nyumbani wakaanza kumuuliza kama ameshalipa kodi alikaa kimya akiamini hawamuoni mpaka walipomkamata tanganyika jeki na kutokomea naye teheeeeee!
 
Dah ht mm nikisafr huwa natapika kwakweli.so niliacha kula chchte wkt wa safr na kabla ya safar. Ila ctasahau kpndi niko advance nilisafr na basi kutoka mza kwa kuwa natapika sikunywa hata chai asubuhi safari ikaanza ikaanza saa 12.

Kwa bahati mbaya gari ikaharibika njiani na kupelekea kufika hm saa 7 ucku...hyo njaa yake cpati kuelezea.. Lkn kadri cku zilivyokuwa zinaenda nikazoea kutokula kbc safarn...
 
Mimi huwa sitapiki hata nikikaa nyuma kwenye roli ikanichekecha vipi. kama vipi nakunywa zangu castle milk stout tatu na nyama choma, mchezo umekwisha.

Inategemeana na mtu hasa kama hajazoea kusafiri mala kwa mala. kuna vile vidonge vya kuzuia kutapika kwa wanawake wajawazito, sijui kama vinaweza saidia. jaribu kumpm dr.riwa kabla ya kutumia. Mia
 
Pole sana kama huwa unatapika ila dawa siijui. Halafu hili jambo naona linawatokea hasa wanawake maana sijawai kuona midume ikitapika.[/QUOTE

Sio mimi ninaetapika safarini, bali nimeuliza kutokana na kuona mara nyingi ninaposafiri katika mabasi au hata private naona watu wakitapika ikiwemo ndg zangu ndio maana nikaomba ushauri
 
Usipate shida meza phenegan au avomine kidong kimoja b4 hujaanza safari utapata usingizi mwororo na utakula tani yako hutosikia tena kichefuchefu wala nini tatz la kutapika linachangiwa na kuendekeza umbea wa kuangalia angalia barabarani kuna nini hivyo basi likiwa linakimbia vitu vinavyoonekana njiani huwa navyo kama vinatembea macho hulegea kwa kuchoka kufuatilia hivyo hupelekea msafiri kukinai na kumezameza mate ambayo huleta kichefux2 kama huwezi lala tumia hizo dawa na uache kupepesa pepesa macho kama sungura uwapo safarini!!
 
nilpokua konda kuna mama mmoja alimtapikia brazamen mmoja amevalia vizuri.huyo mama alioga matusi ya nguoni.
 
Pamoja na hayo kuna vitu vingine huwa vinasababisha mtu atapike njiani.

1. Ukiwa na maleria mwilini
Mara nyingi ukiwa na maralia mwilini theni ukasafiri ile mitikisiko hufanya mtu atapike

2. Ukiwa na nyongo nyingi sana mwilini.

HII NDO SABABU KUU KULIKO ZOTE ZINAZO FANYA WATU WATAPIKE WAKATI WA KUSAFIRI, UKIWA NA KIWANGO KIKUBWA CHA NYONGO MWILINI NI LAZIMA UTAPIKE WAKATI WA KUSAFIRI, NYONGO HAIPATANI NA MTIKISIKO WA AINA YOYOTE ILE NA SI KWENYE BASI TU, HATA UKIPANDA GARI DOGO,

Mfano: Kukiwa na Mabampusi mengi njiani na katika eneo moja mfano kwenye madaraja, ule mtikisiko wa Mabampusi razima utapike kama unakiwango kingi cha nyongo

- TIBA YA HII, KABULA YA KUSAFIRI HAKIKISHA UNAONDOA NYONGO YOTE MWILINI, KUNA DAWA NYINGI SANA ZA KUONDOA NYONGO, UKIONDOA NYONGO UTASAFIRI BILA TATIZO LOLOTE HATA KAMA UKILA KIASI GANI

- Ulaji wa vyakula si tatizo, ila Ukiwa na kiwango kingi cha nyongo mwilini hata usipo kula kitu razima utapike- HUWA INATIBULIWA NA MITIKISIKO, HATAUKIKIMBIA UMBALI MFREFU KAMA UNANYONGO NYINGI UTATAPIKA.

3. KWA AMBAO HAWANA TATIZO LA NYONGO ILA WAKISAFIRI WANATAPIKA,

- Usinywe chai ya Maziwa wakati wa kusafiri, maziwa huwa nayo hayapatani na mitikisiko tumboni

- Usitumie vitu vyenye sukari nyingi

- Hakikisha madirisha yako wazi, Hewa ikiwa nzito nayo husababisha mtu atapike
 
Mi mwenyewe nlikuwa na tatzo kama lako, na nligundua kuwa sabbu ni kutokuwa mzoefu wa kusafir mara kwa mara,but ukpata safar za mara kwa mara alafu zwe ndfu kwa bas si chn ya masa 5.bac tatzo ltakwisha.
 
Helow Jf Doctor
Shukran kwa michango yenu mizuri ktk jamii.

Mimi ningependa kujua, kuhusu tatizo la kichefuchefu na kutapika wakati wa safari either mtu awe amekula kabla ya kupanda gari au hajala,au pia akala katikati ya safari, iwe gari binafsi ama ya umma, eithr safari ndefu au fupi. Je, kunasababishwa na nini na nini tiba yake..
Nimejaribu Nosic everytime lakini bado.
 
kabla ya kuanza safari kula phenegan utalala lakini ukija amka huwezi amini utakula kila kitu no kutapika no kichefuchefu mwenzio nlijaribu kwa rafiki yangu amenishukuru kwa tiba hiyo so na wewe jaribu ni serious
 
nashukuru sana,ila nlshajaribu kweli,ad nakosa raha ya safari,iv tatizo lnatokana na nini na nitawezaje kuepuka kabisakabisa
 
Kichefu chefu au kutapika wakati uko safarini sio maradhi. Inakuwa hivyo sababu ya mishipa ya fahamu katika masikio yako iko very sesitive kwa changes za posture na altitude. HHamna mazoezi au tiba unayoweza kufanya. Kuna kinga nzuri ambayo umei elezea kuwa umetumia lakini haikukufaa.

NOSIC: Hii inakupasa uitumie usiku kabla ya siku ya safari ili ikusaidie mwanzoni mwa safari na punde uanzapo safari. Tumia hivi. Vidonge viwili usiku kabla ya safari na kimoja ukisha anza safari. Ukitumia hivi nina uhakika itakusaidia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom