Kutapakaa kwa maji yaliyokwisha muda wake - musoma

kilumbi

Member
Oct 9, 2012
24
4
Kwa muda wa siku mbili sasa nimekua nikikutana na maji yanayokaribia kwisha muda wake ama muda wake wa kutumika kuwa umekwisha kabisa.Leo nimenunua maji ambayo muda wake wa kutumika uliisha tangu tarehe 11/10/2012, tena tumenuua KATONI MBILI toka kwa muuzaji wa jumla hapa MUSOMA. Halafu nawapigia TBS SIRARI wanasema hawawezi kushughulikia ishu hiyo hadi nipeleke risiti kwao halafu twende dukani kuthibitisha madai hayo, hivi huoni kwamba huo ni uchochezi na Mfanyabiashara huyo? Habari nimeshawapa lakini kufuatilia inakuwa ni kesi yangu tena.

Hivi TBS wanafanyaje kazi, mimi nadhani wanapopata taarifa ni jukumu lao sasa kupita MADUKANI na kukagua bidhaa ili kujua ubora wake na si kuniingiza mimi kuwa sehemu ya kesi. Naomba wakazi wa MUSOMA tuwe makini na maji haya toka Kampuni ya RWENZORI kwani ni hatari kwa afya zetu IMG_4279.JPG
 
Nimeyanywa kidogo hata mie mzee! niliyanunua katika duka moja katika barabara ya uhuru! huku nikishangaa kwa nini maji ya uganda (Mt.Rwenzori) yapatikane kwa wingi hapo musoma ilibidi fasta nicheki expr date duuuuh! 02.10.2012 nilkimrushia chupa na maji yaliyokuwa yamebakia mwenye duka nikasepa bila kumlipa!
 
Baada ya expiry date kuna window ya miezi mitatu kwa bidhaa kuweza kutumika (normally) bila ya madhara kwa afya

That being said, hawaruhusuki kuuza bidhaa hizo. TBS iwajibike
 
Mbona hata ya kwenye mito yote na ziwa vick yame expire.
 
Back
Top Bottom