Kutana na Mwanafunzi Mbumbumbu kuliko wote darasani

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
Huyu ni kati ya wanafunzi mbumbumbu kabisa!Haishangazi akipewa paper aigilizie,ataigilizia hadi jina
image.jpeg
 
Kama walau kaweza kuchora hiyo picha ya mkono huyo si mbumbu isipokua kuna anga zake ukimpatia anakuwa dakta fasta.

kuna msemo ulirushwa jamvini na mbobezi mmoja wa fikra kwamba ukimshindanisha samaki na viumbe wengine ktk kupanda mti...utamuona samaki ni ki.la.za milele amina.

Hebu samaki huyo huyo nenda naye olimpik kwy mashindano ya kupiga mbizi ktk maji...nadhani atakua bingwa wa milele na milele.
 
Sio mbumbumbu mkuu,mbona anakipaji kikali sana cha kuchora?
 
Ha ha haaa
Mnasifia bure huyu hata kipaji cha kuchora hana ..!
Lini vidole vikalingana urefu
 
Wanafunzi walipewa karatasi tupu ili wachore mbuzi mmoja alikuwa mbumbumbu sana hakuchora kitu mwalimu kuja akamuuliza wewe mbona hujachora mbuzi? Mbumbumbu akamjibu mwalimu nilimchora mbuzi lakini ameshapita hapa kaenda zake huyo ndie mbumbumbu kuliko wote shule
 
Kuna nchi humu duniani huyu jamaa utakuta anakuja kuwa Mkuu wa wilaya au mkoa! We unamwita mbumbumbu?
 
Wanafunzi walipewa karatasi tupu ili wachore mbuzi mmoja alikuwa mbumbumbu sana hakuchora kitu mwalimu kuja akamuuliza wewe mbona hujachora mbuzi? Mbumbumbu akamjibu mwalimu nilimchora mbuzi lakini ameshapita hapa kaenda zake huyo ndie mbumbumbu kuliko wote shule
Dah!
 
Jamaa ni bonge la msanii ,kafikisha ujumbe kwa njia ya katuni ,huyu ni Masoud Kipanya wa baadae
 
Back
Top Bottom