Kutana na msanii sexy wa filamu Shilole

Hiki choo siyo made in China?
Hata mie nakuunga mkono hiyo choo ya marumaru ni medini China,hakiki kinapendeza tatizo ni kwalite muda si mrefu kitaanza kulegea kama mlenda na mwishowe kumong'onyoka kwa kifupi hicho choo kimewekwa marumaru lakini ndani ni pumba
 
Mabinti kama hawa kuwa nao ni kujitafutia kifo cha mapema! Maana huyu lazima kwa uchache anatembea na mapedejee 20!

kyabu, pole kwa uoga! Kwa jinsi hii ukaoe watoto ndugu wa Pinda, Dk. Remy au Wassira. No presha
 
El Toro Huyo saloonist wake afukuzwe kazi... hata unywele wa kubandika hajui...:A S 13:
 
Last edited by a moderator:
Ukiutaka ule mtandao wetu kwa Shilole network inapatikana kirahisi kweli ?
 
Hiki chuma kweli kina mwanaume mmoja? Nina mashaka SANA. Halafu si mchina huyu. Ni creation tu

SHILOLE.jpg
 
she is sexy, hunky, funky n no one to campare... ana usafiri siyo wa kitoto....
 
Starehe za wenye fueeeeza, wakimaliza kula wanatema kama ganda la muwa, wa hivi hawaolewagi kwani hakuna mwanaume mwenye kutaka pressure za ghafla ghafla! Mkuu hajaona hapa?
 
Back
Top Bottom