Kutana na Julius Malema - raisi mtarajiwa wa Afrika Kusini

Damn...this guy is dangerous and must be taken out ASAP,bora kupoteza mshenzi mmoja kama huyu kuliko kusubiri disaster inayokuja kutokana na idea zake na washabiki wake,yaani nikimwangalia tuu namwona Iddi Amin in the making na anaweza kuwa hatari zaidi,kama South African wanataka kurudishwa stone age waendelee kumshangilia huyu mwendawazimu...he must go!
 
juzujuzi alikuwa kwa Bob Rob Zimbabwe na alipokelewa kishujaa na akapata wasaa wa kuzungumza na Bob kwa masaa kadhaa.
 
oOh dear,

Have a look on this other one:

Typical populist!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
i don see whats wrong with what this guy is doing, he simply want people to be more patriotic afterall since the end of apartheid rule majority black south africans can not tell the difference is their lives as things are still the same, na huo ustaarabu ndio ulimfanya mbeki apoteze appeal kwa majority, to them is a matter of survival so calling him racist etc wont take his popularity away, perhaps we should start by asking why is guy has so much people appeal?

nashangazwa pia kwa nini aandamwe ivyo mbona apa apa africa nchi ya mauritania weupe wenye asili ya waarabu wanaua weusi ila hamna anayewa curse wale waarabu? kule mpaka sasa weusi wanauawa na kuwa replaced kiasi kwamba black are second class citizen, south africa white still ni dominant lakini uyu jamaa kuamsha hisisa kidogo analaaniwa namna iyo! tuache double standard!
 
.....he s nut,hana tofauti na racist extremist from the other side,watu kama huyu ataleta matatizo kwa weusi wenzake kuliko wazungu,hao wazungu ni citizens wa SA kama yeye Malema na hana haki zaidi ya wenzake na nchi ilishaachana na apartheid(legally),hao wazungu ni very productive na SA ni superpower ya Africa kwa ajiri yao...bila wao SA ingekuwa kama failed states nyingine tuu za Africa wanaochinjana na kufa njaa kila siku,na muache mawazo ya kufikiri black kule ni second rate citizens,ni kweli ni maskini lakini sio wote na wako better kuliko wafrica wengi na wana chance zote za kwenda mbele wakijitahidi,anatumia past,poverty kuplay fear za watu mwendawazimu huyu
 
Back
Top Bottom