Kutana na Julius Malema - raisi mtarajiwa wa Afrika Kusini

Huyu kijana hana akili vizuri akiwa rais wa SA ubaguzi wa rangi utarejea kwa kinyume cha waafrika kubagua watu weupe.
 
Huyu kijana hana akili vizuri akiwa rais wa SA ubaguzi wa rangi utarejea kwa kinyume cha waafrika kubagua watu weupe.

Nakwambia wee acha tu! Yaani eti aje awapiku watu wenye calibre ya Cyril Ramaphosa na Tokyo Sexwale.....I can't believe it but we'll see
 
Mnaposikia watz wanapondwa mawe huko mtaroni eleweni kuwa huyu kijana na kakake Zuma wako nyuma hasa kwa sera yao ya WAZAWA kwanza!
 
Another Iddi Amini in the making. This guy is frigging...dare I say it.....dumb!

http://www.youtube.com/watch?v=gJYDcx7ltMI

This guy makes no sense and is contradicting himself with every word he says. He owns a house in the suburb and a $750,000 car but does not consider himself rich. Yani na a whole lot of mambo jambo. Every sentence goes against the last. Huyu asi danganyi he is not a communist but an opportunist.
 
Huyo kijana hafai kabisa ... atawarudisha wasauzi nyuma kwa miaka mingi sana!
 
Julius Malema:The guy is a blood racist.....huyu akiwa prezzoo Sa itarudi nyuma kwa lightning speed

Yaani mimi huwa namfananisha na Emma nchimbi wetu katika style yao ya kisiasa.Leo hii hata zuma anaonekana kama mfuasi wa julius Malema.Shule yake ni dhaifu sana plus utoto na kiburi cha kipuuzi.Hata hivyo huyu jamaa anasaidia kuonyesha kwamba bado blacks SA wana grudge na wazungu.Seriously kama huyu jamaa hatadhibitiwa ataigharimu South afrika vibaya sana

Kwanza kwa kuchonga deal za kifisadi huyu mkulu ni namba one,dirty politics ndo mtaji wake mkuu ktk siasa
 
Black Stalin in the making. I read his blog and my conlusion is that he is just another baffoon.
 
wananchi walimchagua huyu kuwa kiongozi wa vijana ANC sio? That means ana watu wengi wanamuunga mkono na sera zake...inatisha kwa kweli!
 
Hahahahaha, wanatakiwa vijana kama kumi hivi kama JM ili wasaidie kuwaadabisha wazungu kwani wanashikolia kila kitu. waafrika wengi bado wanaishi kama wakimbizi, kwenye nyumba za kajamba na nani?
 
Elimu yake ni high school

Halafu sasa huyu mkuu atasema vipi anawapigania watu maskini huku yeye akiishi maisha ya kufuru?na je hizo allegetions za ufisadi je?
 
This one here takes the cake......

 
Last edited by a moderator:
Walianza na Mandela , akaja Mbeki waliofuata wanajijua wenyewe! Zuma ameanza kutumia akili siku hizi..wakati Mbeki raisi, Zuma alikua anapenda kuropoka kama huyu JM..ili kupata support ya watu...sasa hivi Zuma ameonja joto/pressure ya madaraka na kuamua kubadilika ..juzi juzi kanona ni bora kumwambia bwana mdogo aache kuropoka ovyo..lakini tatizo bwana mdogo hana njia nyengine yakupata support ya watu wachini (walio wengi) zaidi ya kuropoka...
sasa kama ndio next president huyo sijui...mimi sikudhani hata siku moja Zuma atakaa kwenye kile kiti...lakini leo yupo...huyu kichaa might be next!
 
Huyu jamaa kama akiweza kudunda salama katika safari yake ya kisiasa kwa mitazamo ya hovyo hovyo aliyonayo basi atakuwa mtu wa aina yake. Anaonekana kama anachimba kaburi ambalo sharti aanze kwanza kutumbukia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom