Kutambulika. . . .

Audi new model itashinda barazani kwako siku nzima na kukupeleka salon na kukurudisha kuvaa rasmi kwa mtoko, i will hire a driver for ur up n down for whole day.
Nadhani hilo fagio litatosha kuwakata kilimilimi, mimi na wewe tutakutana kwenye eneo la tukio for special night.


Hhhhmmm . . . kama sijalogwa basi hamna wachawi mtaani kwetu.
 
Kujua sio kutambua. . .wala kutambua sio kujua.
Mie sijasema namjua nimesema namtambua!.. Naelewa kujua na kutambua ni vitu viwili tofauti, huezi kujua kama hutambui, inaanza kutambua then kujua!
 
Mie sijasema namjua nimesema namtambua!.. Naelewa kujua na kutambua ni vitu viwili tofauti, huezi kujua kama hutambui, inaanza kutambua then kujua!

Kumbe KUHISI = KUTAMBUA?
Mi najua KUHISI -<< KUJUA which is -<< KUTAMBUA.
 
kwanza kujitambua na ujitambue nafasi yako na nadhani pia kwa hatua hiyo hata mhusika nae atakutambua na kukupa nafasi kulingana na wewe jinsi ulivyojiweka
 
Hahaha. . . haya bana NAPOTEZEA!!

Sasa ndio nini hivyo Valentine?Huwezi kunitambua ukaacha mwanya wengine wanijue?Lolz
Haya mimi naingia mtaani sasa kupata dinner leo nina hamu na dinner ya mtaani, nawatakia mjadala mwema wenye afya.
Am out.
 
Lizzy, hili swali lina jibu la wazi kabisa..

III)KUTAMBULIWA na MHUSIKA ila sio na WATU WOTE. . mwenzako anakutambua na kukubali kama mke/ mume/ mchumba/ mpenzi wake na vitendo vyake haviko mbali katika kuthibitisha hilo ila waliopo nje (yaweza kuwa ndugu zake au zako, marafiki au majirani) wanakataa/shindwa kukutambua kama anavyokutambua mhusika.

...hii pekee ndiyo yenye ahueni, i.e angalau mhusika unajijua thamani yako kwake.
 
Lizzy, hili swali lina jibu la wazi kabisa..



...hii pekee ndiyo yenye ahueni, i.e angalau mhusika unajijua thamani yako kwake.
Mbu jibu liko wazi ila kulipata kwenye mtihani ndio tabu. . .
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom