Kutambulika. . . .

LiZzy. Kusema kweli mimi sijakutana na situation kama hii in real life. Cross my heart, Nimejaribu to keep away from women after discovering the woman I was living with was double crossing me. I had two beautiful doughters with her and had to let her go. My 2nd was arranged by my family and we R together blessed with two boys and a girl.

My first alinitambulisha kwa na nilikuwa nimekubalika ingawaje ilikuwa sio chaguo la family yangu lakini walimkubali. Yalipo nitokea saana walikuwa wananiambia; si tulikuambia, unaona sasa.

I am planning kuongeza wa pili ambaye yuko nursing college Mtwara. Huyu kwao ninatambulika na kwetu well so and so. Marafiki zake waliopo hapa saaana wananitembelea home. Lakini my wife amekubali shingo upande. Maadili ya kidini yanambana.

I hope nimekujibu lakini kwa mifano ya life yangu.
Asante Doc nimekusoma.
Pole kwa kuzungukwa!!


Hehehehe wawili utawaweza?
 
Mr Rocky hii ni practical. . .yani kimatendo zaidi.

Ngoja nikapate kahawa nitarudi baadae mkishamaliza maongezi yenu
Maana naachwa kwenye mataa pale ubungo sijui niende posta au mwenge au bandari au airport au nirudi morogoro
 
Hahahaha. . . Jimama huliwezi aisee.
Alafu maua umeshaninunulia?Napenda Lilies. . . just so you know!!Lolz
Nimeshadeposit cash, to be delivered on 14/2
pink_calla_lilies.jpg
 
Ngoja nikapate kahawa nitarudi baadae mkishamaliza maongezi yenu
Maana naachwa kwenye mataa pale ubungo sijui niende posta au mwenge au bandari au airport au nirudi morogoro
Yaani ukirudi hutoamini macho yako, ndio utakuta yamenoga ile mbaya!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom