Kutamani sana wanawake

Nina tatizo hilo kila shori mkali anaekatiza mbele yangu basi namtamani....kimapenzi....najiulizaga peke yangu huu utakuwa ugonjwa..despite nina shori mkali nyumbani lakini bado haka ka tatizo bado kananiandama...
I know it is not easy to be loyal nowadays...temptation of women is so strong to handle.....Nisaidieni wakuu hata kwa ushauri..
Wahi ukaombewe usije ukapata mfadhahiko na ukabaka bure..
 
[SIZE=+2]MARADHI YA KISAIKOLOJIA:[/SIZE] [SIZE=+3]SEXUAL SADISM[/SIZE]

kuna maradhi aina ya Paraphilia yaitwayo Voyeurims yaani maradhi ya mtu kupenda kukodolea macho au kuchungulia watu wasio na nguo. Leo tuangalie Paraphilia nyingine ambayo vile vile inakuwa kwa kasi katika jamii yetu. Hiini Sexual Sadism, yaani maradhi ambayo aliyenayo huona raha mtu wa jinsia tofauti na yeye anapodhalilika au kuteseka kijinsia.

Sexual Sadism ni maradhi ambayo yanawapata wake kwa waume, ingawaje maradhi haya hukithiri kwa wanaume.
Mara nyingi wanaume wenye maradhi haya hutumia nguvu za kimaumbile au za kiutawala kuwadhalilisha wanawake kijinsia. Hawa huona raha wanapowadhalilisha wanawake kwa njia mbalimbali kama vile kuwashikashika bila ya ridhaa yao, kuwaangalia kwa jicho la fitna,a u kuwatolea lugha za kejeli na kuwaita majina yasiyofaa. Wengi katika hawa hufikia hatua ya kuwabaka wanawake kwa kuwakomoa tu au kuwadhalilisha, au ukomo wa raha yao huja pale wanapomfanyia mwanamke jambo linalomuudhi au kumuumiza. Hili ni kundi la wagonjwa mahututi.
Kundi jingine ni la wanaume ambao, japo hawashiriki moja kwa moja katika udhalilishaji, hufurahia mwanamke anapodhalilika au kudhalilishwa kijinsia. Hawa husifia vitendo vichafu walivyofanyiwa wanawake, na huona waliofanya hivyo ndio wanaume. Mara nyingi unaweza ukawakuta vijana wahuni wakipongezana na kuwahadithia wenzao kwa ushabiki na furaha jinsi mwanamke fulani alivyodhalilishwa kijinsia, kwa kubakwa na kundi la wanaume, au kufanyiwa tendo lolote la kinyama na kihayawani.
Mfano mwingine wa watu wenye maradhi haya ni wale wanaoshangilia kuona mwanamke anadhalilika kijinsia, labda kwa bahati mbaya. Kwa mfano, mwanamke anaweza kujikwaa na kuanguka kiasi cha kuonekana baadhi ya sehemu za siri na utakuta kundi la vijana (na wengine watu wazima) wakitoa mayowe na vifijo, wengine wakipiga miluzi kushabikia yaliyotokea.
Au mfano mwingine ni pale labda mwanamke mgonjwa wa akili anapovua nguo na kutembea wazi, panapotokea wasamaria wema kumhifadhi utakuta wenye maradhi haya ya Sexual Sadism hukasirika wakilaumu kuwa wameondolewa sinema ya bure.
Wapo wanawake vile vile wenye maradhi haya, japo wao mara nyingi hawawezi kutumia mabavu
kuwadhalilisha wanaume. Baadhi yao ni wale ambao hujitoa nje katika hali ambayo wanajua kwamba wanaume watakaowaangalia watateseka kimaumbile. Hawa ni wendauchi ambao kwa makusudi hutumia maumbo yao kuwatesa wanaume majiani na mabarazani.
Wendawazi hawa vile vile ni chanzo cha matukio mengi ya ubakaji, kwani wanaume wengine hushindwa kuendelea kuvumilia hali iliyosababishwa na uvaaji na uchochezi wa mwendawazi yule. Hivyo wabakwao wengi huanza kuwabaka wabakaji kisaikolojia. Jamii ya Kiislamu husalimika na maradhi haya kwa kusisitiza stara (hijab) kwa wanawake na wanaume.
Ama suala zina la ugonjwa huu wa Sexual Sadism kunakuwa hakuna dawa kwa jamii kama hii yetu, yenye mfumo wa maisha wa kikafiri (kufru culture) ambapo hakuna sheria inayoongoza mahusiano ya wanaume na wanawake. Kila mmoja anadai uhuru wa kujiamulia mambo, kwa hiyo uhuru huo umetoa mwanya kwa wadhalilishaji kuwa huru kuwadhalilisha wenzao. Uislamu pekee ndio kinga dhidi ya Sexual Sadism na maradhi kama hayo.
Jambo la kwanza, Uislamu hauruhusu michanganyiko ya holela ya wanaume na wanawake wasio ndugu. Hii hupunguza fursa (opportunity) ya watu wa jinsi tofauti hata kuongea, zaidi ya salamu ya amani.
Pili, Uislamu unamtetea mwanamke hata anapokuwa amesingiziwa tu kuwa amefanya uovu. Msingiziaji hutakiwa apewe adhabu ya viboko themanini vya nguvu ( Qur'an 24:4).
Tatu, Sheria ya Kiislamu ina adhabu kali dhidi ya wazinifu. Leo hii wadhalilishaji ni wengi kwa vile uzinifu umepewa leseni na umekuwa sio dhambi. Lakini kama wazinifu wangekomeshwa, wadhallishaji, wenye maradhi ya Sexual Sadism wangetokea wapi?
Nne, wanawake na wanaume wamekatazwa hasa kudhalilishana. (49:11)
Tano, Uislamu unakataza hata kukodoleana macho yanayoweza kuleta fitna, kwa kuwaambia wanaume na wanawake washushe macho yao chini (Qur'an 24:30)
Sita, Uislamu umemtaka mwanamke ajihifadhi. Katika Uislamu mwili wote wa mwanamke ni uchi, isipokuwa uso na viganja. Hivyo mwanamke wa Kiislamu hawezi kuwadhalilisha wanaume, na ni vigumu kwake kudhalilika:
Aya: "Ewe Mtume! Waambie wake zako, na binti zako na wanawake wa Kiislamu, wajiteremshie vizuri nguo zao. Kufanya hivyo kutafanya wajulikane (kuwa ni watu wa heshima) na wasiudhiwe..." (33:59)
Kwa ujumla, jamii kufuata Uislamu ni kusalimika na kila janga la ulimwengu huu, hasa yale yanayosababishwa na sisi wenyewe kwa matendo yetu. Hivyo janga la kudhalilishana kijinsia vile vile litaondoka kwa kufuata sheria za Kiislamu
 
baba usidanganyike utakua na nyege embu jaribu kupigaga puny+******tu man tatizo litakata best
 
Fuata mwili wako,yaani upe mwili wako kama unavyodai,with time mwili utaona kawaida na tamaa itaisha

Unamtia hatarini mwenzako; as you absorb more ................! mwishowe atajikuta akitumbulia macho mali za watu na hapo ndo kasheshe litakapoanza!
 
hapo mkuu unacheza na saikoliogia ya roho na mwili, unatakiwa uwe na uwezo wa kuendesha mwili wako kwa kujenga saikologia ya kuona mwanamke normal nikama mke wako usiwajenge mawazo ya uzuri sana
 
Pole sana mi nilikuwa na tabia hiyo ila nilipotambua kuwa hiyo tabia inavunja heshima ya mtu nilianza kujizuia sana na hatimaye nikazidi kujitambua kwa kujiuliza hitaji langu ni nini hasa ndipo nikajichagulia mmoja niliyemuappreacite na sas nimetulia na nazidi kutulia,
kumbuka kumshrikisha Mola ktk hili,
 
[SIZE=+2]MARADHI YA KISAIKOLOJIA:[/SIZE] [SIZE=+3]SEXUAL SADISM[/SIZE]

kuna maradhi aina ya Paraphilia yaitwayo Voyeurims yaani maradhi ya mtu kupenda kukodolea macho au kuchungulia watu wasio na nguo. Leo tuangalie Paraphilia nyingine ambayo vile vile inakuwa kwa kasi katika jamii yetu. Hiini Sexual Sadism, yaani maradhi ambayo aliyenayo huona raha mtu wa jinsia tofauti na yeye anapodhalilika au kuteseka kijinsia.

Sexual Sadism ni maradhi ambayo yanawapata wake kwa waume, ingawaje maradhi haya hukithiri kwa wanaume.
Mara nyingi wanaume wenye maradhi haya hutumia nguvu za kimaumbile au za kiutawala kuwadhalilisha wanawake kijinsia. Hawa huona raha wanapowadhalilisha wanawake kwa njia mbalimbali kama vile kuwashikashika bila ya ridhaa yao, kuwaangalia kwa jicho la fitna,a u kuwatolea lugha za kejeli na kuwaita majina yasiyofaa. Wengi katika hawa hufikia hatua ya kuwabaka wanawake kwa kuwakomoa tu au kuwadhalilisha, au ukomo wa raha yao huja pale wanapomfanyia mwanamke jambo linalomuudhi au kumuumiza. Hili ni kundi la wagonjwa mahututi.
Kundi jingine ni la wanaume ambao, japo hawashiriki moja kwa moja katika udhalilishaji, hufurahia mwanamke anapodhalilika au kudhalilishwa kijinsia. Hawa husifia vitendo vichafu walivyofanyiwa wanawake, na huona waliofanya hivyo ndio wanaume. Mara nyingi unaweza ukawakuta vijana wahuni wakipongezana na kuwahadithia wenzao kwa ushabiki na furaha jinsi mwanamke fulani alivyodhalilishwa kijinsia, kwa kubakwa na kundi la wanaume, au kufanyiwa tendo lolote la kinyama na kihayawani.
Mfano mwingine wa watu wenye maradhi haya ni wale wanaoshangilia kuona mwanamke anadhalilika kijinsia, labda kwa bahati mbaya. Kwa mfano, mwanamke anaweza kujikwaa na kuanguka kiasi cha kuonekana baadhi ya sehemu za siri na utakuta kundi la vijana (na wengine watu wazima) wakitoa mayowe na vifijo, wengine wakipiga miluzi kushabikia yaliyotokea.
Au mfano mwingine ni pale labda mwanamke mgonjwa wa akili anapovua nguo na kutembea wazi, panapotokea wasamaria wema kumhifadhi utakuta wenye maradhi haya ya Sexual Sadism hukasirika wakilaumu kuwa wameondolewa sinema ya bure.
Wapo wanawake vile vile wenye maradhi haya, japo wao mara nyingi hawawezi kutumia mabavu
kuwadhalilisha wanaume. Baadhi yao ni wale ambao hujitoa nje katika hali ambayo wanajua kwamba wanaume watakaowaangalia watateseka kimaumbile. Hawa ni wendauchi ambao kwa makusudi hutumia maumbo yao kuwatesa wanaume majiani na mabarazani.
Wendawazi hawa vile vile ni chanzo cha matukio mengi ya ubakaji, kwani wanaume wengine hushindwa kuendelea kuvumilia hali iliyosababishwa na uvaaji na uchochezi wa mwendawazi yule. Hivyo wabakwao wengi huanza kuwabaka wabakaji kisaikolojia. Jamii ya Kiislamu husalimika na maradhi haya kwa kusisitiza stara (hijab) kwa wanawake na wanaume.
Ama suala zina la ugonjwa huu wa Sexual Sadism kunakuwa hakuna dawa kwa jamii kama hii yetu, yenye mfumo wa maisha wa kikafiri (kufru culture) ambapo hakuna sheria inayoongoza mahusiano ya wanaume na wanawake. Kila mmoja anadai uhuru wa kujiamulia mambo, kwa hiyo uhuru huo umetoa mwanya kwa wadhalilishaji kuwa huru kuwadhalilisha wenzao. Uislamu pekee ndio kinga dhidi ya Sexual Sadism na maradhi kama hayo.
Jambo la kwanza, Uislamu hauruhusu michanganyiko ya holela ya wanaume na wanawake wasio ndugu. Hii hupunguza fursa (opportunity) ya watu wa jinsi tofauti hata kuongea, zaidi ya salamu ya amani.
Pili, Uislamu unamtetea mwanamke hata anapokuwa amesingiziwa tu kuwa amefanya uovu. Msingiziaji hutakiwa apewe adhabu ya viboko themanini vya nguvu ( Qur'an 24:4).
Tatu, Sheria ya Kiislamu ina adhabu kali dhidi ya wazinifu. Leo hii wadhalilishaji ni wengi kwa vile uzinifu umepewa leseni na umekuwa sio dhambi. Lakini kama wazinifu wangekomeshwa, wadhallishaji, wenye maradhi ya Sexual Sadism wangetokea wapi?
Nne, wanawake na wanaume wamekatazwa hasa kudhalilishana. (49:11)
Tano, Uislamu unakataza hata kukodoleana macho yanayoweza kuleta fitna, kwa kuwaambia wanaume na wanawake washushe macho yao chini (Qur'an 24:30)
Sita, Uislamu umemtaka mwanamke ajihifadhi. Katika Uislamu mwili wote wa mwanamke ni uchi, isipokuwa uso na viganja. Hivyo mwanamke wa Kiislamu hawezi kuwadhalilisha wanaume, na ni vigumu kwake kudhalilika:
Aya: "Ewe Mtume! Waambie wake zako, na binti zako na wanawake wa Kiislamu, wajiteremshie vizuri nguo zao. Kufanya hivyo kutafanya wajulikane (kuwa ni watu wa heshima) na wasiudhiwe..." (33:59)
Kwa ujumla, jamii kufuata Uislamu ni kusalimika na kila janga la ulimwengu huu, hasa yale yanayosababishwa na sisi wenyewe kwa matendo yetu. Hivyo janga la kudhalilishana kijinsia vile vile litaondoka kwa kufuata sheria za Kiislamu
atiko yako imeenda mbaaaaaali sana...siwashiiki shiki wala kuwatolea maneno ya kifedhuli wadada.....ni nawatamani tu kimoyo moyo
 
acha uongo hakuna amri ya saba inayosema usizini futa kauli yako mkuu..

Wewe ndio umechemsha kwa kufuata mapokeo ya wanadamu na kutengua amri za Mungu. Usizini ni amri ya 7 katika Biblia takatifu kama ilivyopokelewa na Musa pale katika mlima Sinai, ila warumi wakaja kuzichakachua na kuzabadili baadhi ya amri, hivyo hiyo ya 7 ikafanywa kuwa ni ya 6 katika Mithali ya waumini. Tuendelee na mada ya afya..
 
Si shauri hili la kwenda kwa pastors kuombewa! Ataishiwa kutakaswa akawa gay kabisa which is even worse! Si mnakumbuka yule mke wakili aliyetakaswa na 'nabii'?
 
Freud anasema wanaume wote wa rijali ya kawaida (wasio mahanithi au wakatwa korodani) wako hivyo, sema wengine wanajua kujibalaguza zaidi na kujizuia.

Kwa kawaida mie namuona "Freud is a fraud" lakini hapa naona ana point.

Kwa hiyo si peke yako. Wanaume wote wa kawaida hupata ashiki hiyo, kwa hiyo ukipata msisimko ni jambo la kawaida. Jambo lisilo la kawaida ni kutopata msisimko.

Kitu muhimu ni kutafuta wako na kutulizana naye, maana ukitaka kula kila kitu utakula mpaka sumu na kujifia mbali ubakie hadithi tu.
 
Back
Top Bottom