Kutaja jina la mtu mwingine kunako 6*6

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Wakuu nadhani baadhi yetu tushakumbwa na hii hali,kwanza ilintokea kwa ex-girl wangu ambapo alitaja jina la jamaa flani hivi,iliniuma sana tukajaachana,binafsi kila ninapocheat nikiwa kunako faragha hujichanganya na hatimaye kutaja jina la mpenzi wangu wakati niko na mwingine tofauti,wadau je tatizo hili husababishwa na nini? Na njia ya kuepukana nalo tafadhali.
 
mambo yoooteee ni kugugumiaa tu maraha bila kubwabwa neno ........!!!
 
Wakuu nadhani baadhi yetu tushakumbwa na hii hali,kwanza ilintokea kwa ex-girl wangu ambapo alitaja jina la jamaa flani hivi,iliniuma sana tukajaachana,binafsi kila ninapocheat nikiwa kunako faragha hujichanganya na hatimaye kutaja jina la mpenzi wangu wakati niko na mwingine tofauti,wadau je tatizo hili husababishwa na nini? Na njia ya kuepukana nalo tafadhali.

unmpenda gf wako unahangaika na nini?au tu na wewe uitwe kijogoo mtaani!tulia bana sio sifa wala ujanja kuwa nao wengi!
 
Huu ushauri ni kutoka kwa MASTER MWENYEWE MIMI huyooo! Dawa hapo ni moja, kila mpenzi unaempata imediately jizoeeshe kumuita kidhungu, Dear! Darling! Honey mda wote, usitumie jina lake kabisaaa!. Hapo hata kwenye 6*6 utakuwa unaita dear, honey, my love, it doesnt realy matter who you realy mean!!!! Taratiiiibu unakwepa mashtaka kiulaini
 
MIjitu mingine inashindwa kuficha ujinga wao jamani mbona kichefu chefu!

Yaani tukushauri namna ya kufanya umalaya wako?
 
yani mijitu mingine sijui ikoje? Unaona kichefuchefu wakati style flan inakuhusu,nani kakuambia nahitaj mbinu ya kufanikisha umalaya?toa ushauri acha rude language,ptuuuuuu
 
Mawazo yako yanakuwa na mtu mwingine ndio maana unatokewa hili jambo.
 
Wakuu nadhani baadhi yetu tushakumbwa na hii hali,kwanza ilintokea kwa ex-girl wangu ambapo alitaja jina la jamaa flani hivi,iliniuma sana tukajaachana,binafsi kila ninapocheat nikiwa kunako faragha hujichanganya na hatimaye kutaja jina la mpenzi wangu wakati niko na mwingine tofauti,wadau je tatizo hili husababishwa na nini? Na njia ya kuepukana nalo tafadhali.

hili jambo kwa macheater ni rahisi sana ila kwa waaminifu kama mimi hapo kitu kama hii..

na ukiona hivyo ujue uanze kusepa mapemaa..
 
Huu ushauri ni kutoka kwa MASTER MWENYEWE MIMI huyooo! Dawa hapo ni moja, kila mpenzi unaempata imediately jizoeeshe kumuita kidhungu, Dear! Darling! Honey mda wote, usitumie jina lake kabisaaa!. Hapo hata kwenye 6*6 utakuwa unaita dear, honey, my love, it doesnt realy matter who you realy mean!!!! Taratiiiibu unakwepa mashtaka kiulaini

kweli una masters
 
kumbe umenipa trick nzuri ya kumbwaga binti pale ambapo nimeshaichoka K yake....wakati wa game nataja jina la demu wether imaginary or not
 
Back
Top Bottom