nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,273
- 3,750
Nakumbuka kipindi kile balehe zinaanza kunisumbua, basi ilikuwa ni furaha pale tanesco wakatapo umeme na kuwa giza. Ilikuwa unakamata kabinti gizani halafu unazama mdomoni.
Balaa ni pale nimekamatia kabinti ghafla umeme ukarudi kumbe ni bibi kizee aibu mzee mzima.
Sweetylady naomba unisamehe kwa hilo
Balaa ni pale nimekamatia kabinti ghafla umeme ukarudi kumbe ni bibi kizee aibu mzee mzima.
Sweetylady naomba unisamehe kwa hilo