Kutafuta mpenzi kupitia Mtandao wa interne ( Relationships feature)

Sehemu nyingi sana duniani sasa hivi mtandao ndio unaongoza katika kutafuta Wapenzi. Ukiwa mkweli basi uwezekano wa kufanikiwa ni mkubwa sana.
 



Mtazamaji mapenzi ni nini.mapenzi yanatoka wapi na je niende wapi au nifanye nini nipate mapenzi ya kweli? Haya ndio baadhi tuu ya maswala ambayo wengi hujiuliza pale wanapowaona wawili wakipendana au mapenzi kwenda mrama. Lakini kwa Bwana na Bi Govi kwao

walikuwa hawana budi ila kufanya kila mbinu ili kupata mapenzi ya kweli ikiwemo kuweka picha zao katika mtanadao, kwani kwao kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa upishi katika mapenzi
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda hiyo imetulia..Ni bahati yao wote wawili wamekuwa wakweli.
 
On a serious note, I don't believe in cyber love. Naamini unaweza kukutana na great people mtandaoni, mkajenga urafiki wa muda mrefu sana na mkatokea ku-fall in love. Intention ya mwanzo haipaswi kuwa mapenzi.
 
Back
Top Bottom