Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 566
Kaa miezi 6 alafu ukija kumkojolea ukojoe huku unakaza misuli.
OVER?
OVER?
Msiwe mmelewa, Msiwe na njaa, Msiwe wachovu...... Muwe fresh, hasa kwa mwanaume ili mbegu zake ziwe na nguvu ya kuogelea fasta. Kumbuka mbegu za kiume zinaogelea faster zaidi kuliko za kike
Nimeoa, nina mtoto mmoja wa kike anamiaka minne.umeoa? Tayari unae mtoto hata mmoja? Kama hujaoa na huna mtoto ni mapema sana kuwaza kuchagua jinsia maana kuna wenzako hata uwezo wa kutungisha mimba hawana ila tulia watakuja kukuelekeza wajuzi
Huu ndio ukweli.Kwa kawaida mbegu za kiume zinaspeed kubwa lakini ni short lasting..wakati za kike zina speed ndogo ila ni long lasting. Kwa hiyo kama unataka wa kiume unatakiwa ufanye timing za kuhakikisha yai la kike limepevuka ndio ufanye mambo...ila mbegu za kiume/Y zanapomove ziwahi kufikia yai/x kabla ya kuisha uwezo wake...
Sawa mkuu, utajuaje kuwa yai x la kike limepevuka ili ufanye mambo na kupata kidume?Kwa kawaida mbegu za kiume zinaspeed kubwa lakini ni short lasting..wakati za kike zina speed ndogo ila ni long lasting. Kwa hiyo kama unataka wa kiume unatakiwa ufanye timing za kuhakikisha yai la kike limepevuka ndio ufanye mambo...ila mbegu za kiume/Y zanapomove ziwahi kufikia yai/x kabla ya kuisha uwezo wake...
Hapa kuna ukweli ndani yake, asante kwa maelezo mazuri, naomba kuuliza evolution huwa inatake place masaa yapi? Je ni asubuhi, mchana, jion ama usiku ili tujue namna ya kufanya timing.Inshort mwanamke anatoa XX ambazo zinauwezo wa kutoa mtoto wa kike,mwanaume ana XY ambazo zinauwezo wa kutoa mwanaume au mwanamke yani X girl na Y boy,hivyo mwanaume ndo ananafasi kubwa sana.
Jinsi ya kupata mtoto wa kiume
Tendo lifanyike siku ya ovaluation na iwe 12 hours before,kujua siku ya ovaluation inabidi uhesabu siku aliyoanza kubleed hadi siku ya 14 kwa wale wenye cycle ya siku 28 hivyo siku ya 14 ndo exactly utapata dume but unaweza kuacha siku ya 14 ipite na ufanye siku ya 15 kwa uhakika zaidi maana ovaluation inaweza tokea usiku we ukafanya asubuhi
kwa wale wenye cycle ya siku zaidi ya 28 ni hesabu siku 18 toka siku ya bleed na siku ya 18 ndo siku ya kupata mtoto wa kiume.
BUT kuchagua mtoto its God choice sometime this method doesnt work,kikubwa mtoto ni mtoto na ni baraka toka kwa mungu
Hilo joto linapimwa na kujua limeongezeka kwa muda upi? Lengo langu ni kujua, yai kuja ktk fallopian tube/mfuko wa mimba huja asubuhi, mchana, jion ama usiku?unaweza kujua ovulation day kwa haya
1) joto la mwanamke uongezeka kwa 1 degree cent igrade.siku ya ovulation joto la mwanamke huwa kubwa kidogo (about 38 instead of normal 37)
2) majimaji ya uken yanakuwa mazito
3) mwanamke anakuwa na hashik sana
Unaweza kunipa mwongozo, ulijaribu kwa kufuata maelekezo yapi mpka ukafanikiwa? Maana humu pamekuwa na maelezo tofauti tofauti.... Msaada mkuu ama kwa yeyote anaejua, hili jambo kwangu ni la mhimu sana.Yanawezekana kabisa mimi nilijaribu nikafanikiwa.
yaani watu mna maneno kwa kweli dooooo ahahahahahahahahahMie nishushe njiani konda nishafika....