Kusweat kuliko kawaida.

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Jamani mwenzenu nina tatizo la kutoka majasho kwa wingi kuliko kawaida, kiasi kwamba hali hii hunikera sana na wakati mwingine had nakua kituko mbele za watu kwa kusweat pasipo na sababu ya kusweat; tafadhalini naomba ushauri wenu ni nini hasa uhalisia wa TATIZO langu na nifanyaje ili niondokane nalo?
 
nenda hospital mueleze dr jinsi unavyojisikia yey atakufanyia uchunguzi na kubaini taaizo lako
 
Mimi hilo tatizo lilinipata kipindi fulani nikapewa dawaya kienyeji na mama wa Kihaya nikachemsha yale majani nikanya kama wiki moja tatizo kwisha.Hebu kapime hospital kama majibu hakuna kaulize kwa bibi yeyote wa kihaya dawa ya ugojwa uitwao OMWIZI,wanadai huchangia tatizo hili.
Dawa zetu za asili ni nzuri sana huponya na lishe......:A S-coffee:
 
No need to worry just go to the pharmacy and buy yourself, 'anhydrol forte', i' m not sure if i spell correct but it
contains alminium chloride which blocks your excess glands,

its magic trust me /apply at night before you sleep coz thats when sweat
glands are less active, and clean it off in the morning .do this 2 nights in a row
and skip the rest of the week,
it also takes care of the odour. Good luck
 
Thx bana INll find it
 
nenda hospital mueleze dr jinsi unavyojisikia yey atakufanyia uchunguzi na kubaini taaizo lako

Jana kabla sijaomba msaada hapa JF nlienda kwa docta nkamueleza tatzo langu akanambia huu wala sio ugonjwa labda ningekua nasweat sana afu nakonda basi lingekua tatzo lkn afya swaafi kabisa na ktambi cha pombe za kienyeji kipo ndio nkabaki kuchoka sijui nn sababu
 
Mi mara nyingi natokwa na jasho kichwa tu tangu enzi ile mpk leo. Natokwa na jasho haswa muda ule wa kazi ngumu na wakati wa kula!

Je? Nalo ni tatizo?
 
Mimi hilo tatizo lilinipata kipindi fulani nikapewa dawaya kienyeji na mama wa Kihaya nikachemsha yale majani nikanya kama wiki moja tatizo kwisha.Hebu kapime hospital kama majibu hakuna kaulize kwa bibi yeyote wa kihaya dawa ya ugojwa uitwao OMWIZI,wanadai huchangia tatizo hili.
Dawa zetu za asili ni nzuri sana huponya na lishe......:A S-coffee:

Dah aksante Bakuza; bt Hosp. nimeenda cjapata tatuzi yake wacha sasa nifanyie kazi ushauri wenu wana JF nione hatma yake"
 
Back
Top Bottom