Kusonya

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Nielewewavyo mimi kusonya ni ishara ya dharau au maudhi......inakuwaje katikati ya mushughuli mtu anasonya?(hasa nyie kinamama)........je ni dharau au ni nini?
 
Ni pale mwenzio akaribiapo kufika peak halafu anaona kabisa umemaliza nae kumuacha dillemma, ni ama hukumuandaa vema kisaikolojia na wewe unapomaliza yeye ndio anabakia ku-search peak.
Huwajibiki ipasavyo katika ukunaji
 
Hapana......ninamaanisha ukiwa unaendelea na ukunaji yeye aidha ana ghuna au anasonya...:lol::eyebrows::embarassed2:
 
Hapo ujue ameguswa haswaaaaaaaaaa na anafurahia.
  • Wengine husonya,
  • Wengine Hutoa mikelele
  • Wengine hulia
  • Wengine hupayuka na kunena yasiyojulikana
  • Wengine huthubutu hata kukupiga makofi au kukufinya
  • Wengine hupumua kwa nguvu saana
Yote hayo ni ukunaji ULIOTUKUKA.
 
Kusonya ni dalili ya kutoridhika na kitu fulani.Ikitokea kwenye mahusiano ni dalili mbaya sana. Ni vizuri umwulize sonya yake ina maana gani ili aeleze kutumia maneno yanayoeleweka ili kama kuna maudhi, yarekebishwe. Tabia ya kusonya imeenea sana hasa kwa akina mamazetu
 
Ukiwa nae katika hali ya kawida hasonyi.......mkianza mahaba na yakakolea anasonyasonya
 
Back
Top Bottom