Kusini wajitenge: wazo langu binafsi

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Kuna mbunge kasema kuwa eti wachaga ndio wameleta umaskini huko kwao kusini.. Sina uhakika kama kafuta kauli yake ama la.. Ila mimi namshauri aanzishe movement ili wajitenge na kaskazini kwa sababu kaskazini inawanyonya na kama hana experience anaweza kuwasiliana na Uamsho watampa techniques. Asanteni.
Mod nawaomba msiondoshe hili bandiko halijakaa kiudini ni katika kumjibu mbunge anayewakilisha wananchi na kutunga sheria huko bungeni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom