...Kusimikwa Uchifu...

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,326
78,382
...Napendekeza tutafute memebr ambaye tutamsimika Uchifu wa Jf Chit-Chat...
...kama wanavyosimikwa..viongozi wengine....

....Pendekeza Jina la Member...asimikwe Uchifu....awe Me au Ke...ili mradi ni member...

Vigezo na Mashart kuzingatiwa
 
kuna mod mmoja nampendekeza, ila naogopa kumtaja jina wasije wakaninaniliu........
 
Hongereni ! Mnavyojipongeza baada kua kila mmoja wenu kamfanyia mwenza kazi nzuri, sasa hapo kama mna katoto kenu mnakapa udevidi Jairo au ublandina Ninyo
 
1.Kongosho arudishwe na apewe ukiranja.. Awe kama mandela vile,, anatoka jela na shavu juu
2.Au mtambuzi
3. Tukiconsider gender ballance umakamu/mamie chief/mkaza chief awe cantalisia au preta
 
Hongereni ! Mnavyojipongeza baada kua kila mmoja wenu kamfanyia mwenza kazi nzuri, sasa hapo kama mna katoto kenu mnakapa udevidi Jairo au ublandina Ninyo

huna majina mengine.....
kama Condoleza Rice, Ban Kin Moon etc......

huna majina mengine.....
kama Condoleza Rice, Ban Kin Moon etc......

Daah ! Preta ,
kumbe majina ya Mchele , Mwezi na Ban = Prohibit kwa maana ya MARUFUKU ni Bora kuliko ya kina Nyoni ?
Asante kunielimisha .
 
Back
Top Bottom