Kusikiliza redio kwa njia ya internet kwenye simu

My Mud

Senior Member
Oct 5, 2012
108
17
hello wana jf,hvi inawezekana kusikiliza radio kwa njia ya internet kwa sim yoyote yenye uwezo wa kuaccess net.
 
internet radio inawezekana, kupata bbc radio na nyingine inawezekana, na pia kuna apps ambazo zina kusanya radio nyingi pamoja na kuzi stream online. kikubwa uwe na simu yenye 3g (sijui kwa gprs kama inawezekana), kama ni nokia utatumia pre-installed reaplayer, kama ni android, mwendo mdundo!
 
hello wana jf,hvi inawezekana kusikiliza radio kwa njia ya internet kwa sim yoyote yenye uwezo wa kuaccess net.

mimi nina nokia, napata radio nyingi sana za bongo na za kimataifa, sijui wewe unatumia simu gani.!
 
Vipi kama simu ina-access Net lakini isiwe na option ya radio??
 
itabidi uitwe mr.Nokia.

kuna reason behind ya hilo jibu

Nokia unapozungumza simu inayokuja na app zaidi ya 20 sometime hadi 100 ni nokia so hadi java (non-smartphone) zina option ya kustream na jamaa katoa specification zake kua simu yenye internet.

Upande wa samsung, motorolla, siemens, sony erricson zipo zenye internet lakini hazina uwezo wa kustream audio aliekua ni mwokozi wao ni marehem bot nae skuizi kafa ndo mana nikajibu hivo mkuu
 
F87Ti21bqkW0gtbcaF8WMyji1tXXZ6MMtlzGl6a3lQ8z8F4OIgBNvNACn4jSyuftLQ=h900-rw
 
Back
Top Bottom