Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

no no noooooo!
i ain't comply with that timetable.....!

YOU BETTER PUT THAT WOMAN AND A FAMILY FIRST....!

hizo makitu mingine hizo noooooooo!

ni hatari sana kuzifanya nyumba zetu kama SEHEMU YA KULALA TU (guest house),yani tukifika tu ni kuoga na kulala,tena kukoroma kwa nguvu

Nafasi yao iko wazi kuwa wao ni nambari wani: Kujitolea shea yangu ya msosi kwao.... Kama walikuwa wanakula finyango viwili vya nyama watakula vinne, yote kwa hisani ya baba.
 
yaani mkuu kuwahi jana kidogo tu na ukala dinner na familia basi ndo tabu yote hii
hahahaha!
mkuu mie nina karatiba fulani kakukaa na familia walau mara tatu kwa wiki.....trust me
 
Nafasi yao iko wazi kuwa wao ni nambari wani: Kujitolea shea yangu ya msosi kwao.... Kama walikuwa wanakula finyango viwili vya nyama watakula vinne, yote kwa hisani ya baba.
hahahaha!

i am sure wanahitaji zaidi UWEPO wako na si hizo nyama
 
yah!
unawezekana kabisa

at least kupunguza kazi za nje

KAZI ZA NJE zinakufanya uwe bize sana halaf ''for nothing'' kwakuwa in a long run WANAWAKE NI WALE WALE....!hakuna kitu kipya sana utakikuta huko nje

InteliJINSIA yangu inaniambia leo kuna mtu anatumia ID ya ndugu yetu TEAMO
 
hehehehe!
we mpwa sikiliza bana

pamoja na NDOA,you still need friends to hold your hand,or give you a ladder to climb.

ni kuugawa muda wako tu na kujua leo unafanya nini na kesho unafanya nini!

I THINK EVERYBODY NEEDS A TIME WITH HIS FAMILY.....!na marafiki pia

do some partitioning

Halafu wewe usijidai kuongea sana hapa pale baa mpya, kibila, sia, oceanic bay na kingstar huwa unatafuta nini kila siku??? Hiyo dinner unakula lini na mama g??? Acha kuongopea watu aakkkhhhh ushaniudhi kabisa
 
Habari zenu binafsi?!....

Awali ya yote napenda sana kumshukuru sana MAANANI,kwani ni yeye pekee anaetuweka mimi na wewe DUNIANI.Natumia Fursa hii adimu kuwashukuru sana wetu mimi na wewe WAZAZI,kwa kazi ngumu ya kutuleta sisi DUNIANI

STRAIGHT KWENYE HOJA:
TEAMO anawashauri wakina baba wenye familia zenu kujijengea tabia ya KUSHIRIKI chakula cha pamoja na FAMILIA walau mara nne kwa wiki (MSISITIZO:walau mara nne kwa wiki).Wikileaks imegundua kwamba manung'uniko ya hapa na pale ya WAKE ZETU yanachangiwa sana na ''ushiriki finyu'' wa chakula cha pamoja na familia.

TEAMO anawapenda sana na anazijali sana ndoa zenu ndio maana anasema kupunguza kutokuelewana kwa hapa na pale katika familia tujaribu kushiriki pamoja na mama na watoto walau hata DINNER tatu kwa wiki na LUNCH moja weekend.

TEAMO anaamini kwamba wakati mwingine MAPENZI NA FAMILIA ZETU huamshwa na kuanzia mezani.kwa kufanya hivi tutajipunguzia possibilities za kujilimbikizia infiiz ''unnecessarily''.Tutawafanya wake zetu kuwa MIPANGO YOTE,yaani mpango mzima na mpango wa kando anakuwa yeye mwenyewe...

TEAMO IS STANDING TO BE CORRECTED

Yours' Sincerely,
TEAMO aka BABA G

Masahihisho ya Hoja yatafanyika pale JJ kuanzia saa kumi na mbili leo jioni!

Kuna masuala mengi muhimu yamekuwa skipped!
 
yaani mkuu kuwahi jana kidogo tu na ukala dinner na familia basi ndo tabu yote hii

Hebu mwambie huyu jana kala wali maharage ya nazi imekuwa taabu kweli kweli siku zote tunashinda nae baa halafu leo analeta longolongo hapa
 
Huyo ataulizia nguo gani....achana na hii babu crap....

Babu si mchoyo...na wala si crap.

Wanaume waroho ndio wanawahi kurudi nyumbani kugombea wali na watoto wao, badala ya kukutana baa na wanaume wenzao kujadili mustakabali wa katiba mpya.
 
Halafu wewe usijidai kuongea sana hapa pale baa mpya, kibila, sia, oceanic bay na kingstar huwa unatafuta nini kila siku??? Hiyo dinner unakula lini na mama g??? Acha kuongopea watu aakkkhhhh ushaniudhi kabisa

Hii dozi ya Panadol alioitumia jana, leo tutashaa....khaa!
 
Halafu wewe usijidai kuongea sana hapa pale baa mpya, kibila, sia, oceanic bay na kingstar huwa unatafuta nini kila siku??? Hiyo dinner unakula lini na mama g??? Acha kuongopea watu aakkkhhhh ushaniudhi kabisa

Uzuri wa Teamo ni anafutailia sana mafundisho ya dini....hasa yanayosema 'fuateni maneno yangu na sio matendo yangu'
 
Halafu wewe usijidai kuongea sana hapa pale baa mpya, kibila, sia, oceanic bay na kingstar huwa unatafuta nini kila siku??? Hiyo dinner unakula lini na mama g??? Acha kuongopea watu aakkkhhhh ushaniudhi kabisa
jamani jamani mbona mnapingana na ukweli?
 
Masahihisho ya Hoja yatafanyika pale JJ kuanzia saa kumi na mbili leo jioni!

Kuna masuala mengi muhimu yamekuwa skipped!

Tena mumsahihishe vizuri huyu jamaa maana anataka kuleta longolongo hapa jana kawahi home imekuwa issue
 
Hebu mwambie huyu jana kala wali maharage ya nazi imekuwa taabu kweli kweli siku zote tunashinda nae baa halafu leo analeta longolongo hapa
DENA ni lazima uwe mpinzani wangu mkuu

I WILL REST MY CASE anyway
 
Back
Top Bottom