Kushindwa kwa mambo mengi ccm

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Muu hali gani wana jamvi, ktk tafakari yangu ya leo nimejaribu kutafakari kwa kina kwanini ccm inashindwa ktk mambo yake mengi kama ahadi zao za uchaguzi mkuu mwaka 2010 kushindwa kuzitimiza, viongozi wao wengi kuwa wezi na wasio jali wapiga kura wao baada ya kupata kura zao. Nikafikiri labda ccm haina wasomi wa kutosha kuisaidia kifikra serikali yao bado nikakuta kuna wasomi kibao wakiwemo maDR. Maprofesa na wengine wengi, swali langu je wasomi wa ccm ni wale wa kusoma ili wapate vyeti au ni kwaajili ya knowledge ya kufanyia kazi? Au uwezo wanao ila ulafi na ulevi wa madaraka ndo umewazidi?
Nawasilisha,
 
Back
Top Bottom