Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Inafaa kupeana mbinu wengine ndio tunaelekea ukubwani na mambo yameanza kujitokeza ,hapo mwanzoni nilikuwa siamini ,lakini mwalimu wetu pale shule ya msingi Daluni alituona tunamikakati na watoto wa kike ,siku moja akatutolea uvivu na kutuambia tusifanye haraka ,wakati ukifika watatufuata wenyewe na tutayachoka ,ila ndio hivyo mtu mzima dawa ,ule ukweli ndio nauona sasa unaanza kunijongelea.
Ili kupeana mawazo hapa Jf unaushauri gani ikiwa utabambwa au kwa kiswaili kingine utafumaniwa na kifaa cha watu?
Ili kupeana mawazo hapa Jf unaushauri gani ikiwa utabambwa au kwa kiswaili kingine utafumaniwa na kifaa cha watu?