Kushidwa uchaguzi wa Rais 2010, kunamtesa sana Jakaya Kikwete

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Dhambi ya uchakachuaji matokeo, kwamtesa sana Jakaya kikwete.
Kitu kidogo tu, presha inampanda, presha inamshuka.

Maandamano ya Chadema, dhahiri shari, akushinda uchuguzi.

Chanzo cha habari, Usalama wa taifa
 
Mwambie akamwone Shekhe Yahya,atampa dira na kumshauri nini cha kufanya...!!
 
Kama kweli amechakachua lazima presha imemsumbue.............. idadi ya watu wanaoilia CDM ni hatari kwa afya yake.
 
shekha yahya alsiema serikali yake itaangushwa labda mkwere huwa anamwamini ndio maana anatetemeka kwa sasa badaya ya kuwazia namna ya kuinua kipato cha wananchi wake na kutekeleza ahadi zote za CCM ikiwemo vibajaji,ajia,viwanja vikubwa vya ndege wkt hatuna ndege hata moja,obama kumwaga misaada mingi tanzania nk nk.mhhhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom