Kusamehe na kusahau

inawezekana,kama kuna kitu nimebarikiwa ni hapo na kusema ukwel hakuna jambo linaniudhi kama kumjumlishia mtu makosa umekosa leo unasema umesamehe baada ya miezi akikosea unakumbushia kosa
 
ukiwa mbali na muhusika waweza kusahau lakini kila kukicha upo nae daahh inakuwa ngumu kweli kama alivyosema ADii.........yahitaji neema......ikitokea kwa imani uliyonayo mwombe muumba wako atakusaidia kusahau yote........yaone yaliotokea ni vitu vya kawaida na vitapita
 
Back
Top Bottom