achana na mawazo ya kishirikina wewe uko dunia ya ngapi wewe?limbwata at work. Nitamtafuta huyo jamaa kwenye picha na kumpeleka kwa tekelo ama kalembwana ili azinduliwe.
Hivi kwa sisi Waafrika halisi kusaidiana kwa jinsi hii na mzazi mwenzako kunawezakana, au tunaiga wazungu????? TUJADILI!!!
crapmi siwezi kuongea uongo ili nionekane nafaa hapa jf mbele ya wadada, then nigongewe vi-thanks wakati kiukweli nilichokisapoti sifanyi hata siku moja. Kuna watu wamekuwa mstari wa mbele kushawishi wenzao fanya hiki, fanya kile na hata kuaminisha watu kwamba wao wanafanya hayo mambo majumbani mwao, si wanajua hakuna wa kuthibitisha wanayosema hapa jf. No evidence, just a talk. Ingekuwa hii jf inamulika na maisha yetu halisi majumbani mwetu . . . .
Watu wanaishi kwa ku-pretend, anasema kwa watu " . . . Mi kwangu nafanya hiki, nafanya kile"
crap