Kusaidiana kwenye ndoa...

ajabu yake ni nini? kama namfulia na yeye anaweza kunifulia inapobidi.

hamjakutana na makofi huko kwenye ndoa nyinyi................. tena mengine ni ya asubuhiasubuhi ukamwonyeshe na huyo bosi wako anayekusarandia hadi unajiona umefuzu unakuwa na kiherehere ..................
 
Weeee! Eti?
Hujambo mamaa?
Nisamehe bure. Kwa hapo tutatofautiana.
Samahani sana lakini.

cjambo mbee... jamani unamaanisha huwezi kunisaidia hata cku moja moja inapobidi? mbona mie nafua za kwako kila ukiziacha?
 
hamjakutana na makofi huko kwenye ndoa nyinyi................. tena mengine ni ya asubuhiasubuhi ukamwonyeshe na huyo bosi wako anayekusarandia hadi unajiona umefuzu unakuwa na kiherehere ..................

kuna wakati unaropokwa vibaya sana wewe kijana.....
 
hamjakutana na makofi huko kwenye ndoa nyinyi................. tena mengine ni ya asubuhiasubuhi ukamwonyeshe na huyo bosi wako anayekusarandia hadi unajiona umefuzu unakuwa na kiherehere ..................

mhhhhhhh! makofi just bse ya panties.....
it seems wewe ni miongoni mwa wale ugly and iresponsibo, non caring hubies.just a simpo matta kama hio umfanye mkeo ngoma. walahi ningekua mie ndo nkeo hiyo mikono ingeipata khabari yake,
 
mtu mzima hatishiwi nyau mzee.....................................
 
cjambo mbee... jamani unamaanisha huwezi kunisaidia hata cku moja moja inapobidi? mbona mie nafua za kwako kila ukiziacha?

Mimi kufua? Hapana kwakweli. Nisamehe tu bure.
Ila wewe kunifulia huo ni wajibu wako.
Nisamehe tu mamaa. Hiyo ndiyo hali halisi na ukweli mtupu.
 
Akilikichwani needs a break. Inaonekana kachoka

Hapana. Mi namuunga mkono. Mnajua ndio maana ndoa zinavunjika kwasababu wanawake hawajui kutimiza wajibu wao. Sasa AK akiwaelezeni nyie mnamwona zimemruka. Shauri zenu.
 
ni onyo kuwa wanaume wengine hawachezewi....................... mtakuja kwenda makazini kwenu na manundu ya asubuhiasubuhi.................... shauri yenu....................
Na wewe ni vizuri ukajua kuna wanawake wengine hawachezewi, usijekuta unaenda wewe job na manundu,
 
aaa jamani mnaemsema kuwa 'karoweka' vitasa.....pengine sio chupi kama mnavyofikiria nyie bali ni zile nguo maalum anazovaa za kuchochea mapenzi usiku usiku :)
sheer top, bra and panties special za kuvaa chumbani tu, ...n.k
 
Hapana. Mi namuunga mkono. Mnajua ndio maana ndoa zinavunjika kwasababu wanawake hawajui kutimiza wajibu wao. Sasa AK akiwaelezeni nyie mnamwona zimemruka. Shauri zenu.
mmmh, ndoa zingekuwa zinatunzwa ili zidumu kihivi kazi ingekuwepo
 
Akilikichwani needs a break. Inaonekana kachoka

halafu na wewe licha ya kukusihi vile umeondoa avatar ile jamani.............. mamiiiii mwenzio nilikuwa naimind sana..................... kale kamkia ka kichina kalikokuwa kanafukafuka mle ndani ya panties nitakaona wapi tena..................... hakuna tena raha ya kusoamapost zako, naona niungane na chris kukuweka kwenye ignore list.........................
 
Mimi kufua? Hapana kwakweli. Nisamehe tu bure.
Ila wewe kunifulia huo ni wajibu wako.
Nisamehe tu mamaa. Hiyo ndiyo hali halisi na ukweli mtupu.

ckushangai sana! kaka zangu nyie wachaga nawajua sana, ndio zenu hizo ukimsaida wife unaona kama umetawaliwa vile, esp wa marangu.
 
ni onyo kuwa wanaume wengine hawachezewi....................... mtakuja kwenda makazini kwenu na manundu ya asubuhiasubuhi.................... shauri yenu....................

ovyo kabisa....mtu kama wewe ni maneno tu, unashikiliwa chini na mwanamke vibaya kabisa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom