KUSAGA vipi Radio yetu?

Status
Not open for further replies.
huyu ni yule mtangazaji wa clouds anayebana sauti hadi kupitiliza..anaitwa..sijui mchovu...no,no,i got it..MCHOMVU,.i know this guy na wala sio B12 kama mnavyodhani..

Maandamano bana, na wewe unayetetea ujinga wa Sugu ni nani? Shyrose Bhanji?
 
atajibia redioni si ndio zake! Ila kwa kweli wanajiabisha sana.... Yani ni bora ruge angekaa kimya tu. Mwanzao mengi huwa na ruka majoka na press conference alafu anakuwa na maushahidi kibao plus kutumia nusu saa ya taarifa ya habari ya itv kujiosha. Sio ya ruge na gerald kuohojiana kwa scripts!!
jana alihojiwa na mtu mwenye akili anaitwa sebo wa magic fm ilikuwa sawa sana kuliko huyo bwana mdogo hando. Mwana fa ceo wa tfu alihojiwa lakini majibu yake yalikuwa yakujihami sana, alihojiwa huyo ruge nae alieleza hewa pia joseph mbilinyi alihojiwa alikuwa na hoja za maana sio kama watu wengi wanavyo mchukulia!!!!!!
 
dili ya maleria x2 nani aliianza..? nakumbuka JK alisema kwenye vita ya haki ushindi ni lazima.........
 
4.jpg

CAMARADERIE wewe ndio Ruge nini? Mbona una picha zake nyingi, tena high profile fotos? Yani nakuambia Clouds isingekuwa longolongo za hapa na Pale wangekuwa mbali sana. Wish KUSAGA was here kwa JF ningempa Data muhimu sana jinsi anavyokwamishwa na VIJANA anaowaamini. Thanks kwa Foto, keep posting. Ila Ruge please stop complain kwa Redio tumechoka sasa! Gerald asubuhi kazi hafanyi anapiga kelele tu na Mr. II na Ruge! Kama vp muombe mzee Yusuf akutungie mwimbo wa kumjibu SUGU tujue moja kwamba now tupo kwa MIPASHO.
 
Mimi sio Ruge bana.....wala simjui...mapicha yako mengi tu kwenye internet......ni utashi tu...sijui kiusalama raia anatakiwa awe mbali kiasi gani na bega la Rais...hata kama hawajakutana barabarani

Rais1.JPG
 
Jamaa anapiga mstari " huwezi kunitumia kama toilet paper ukisha #$%*&# unatupa ......." hapa nakula mistari ya antivirus tu ....

Hebu kipachike hapa na mm nikisikilize naona huyu Sugu amewaharibia sana swaumu watu.
 
umewaambia hao Mods kuwa hizo post zangu ulizisoma kwa kutumia Masaburi?

Aujourd'hui, dans nos sociétés sophistiquées, l'Art Naïf et la fête sont synonymes de joie, d'exubérance, de gaieté. Ils évoquent un jour exceptionnel où l'être échappe à la quotidienneté, où il s'évade de lui-même, oublie un instant, le temps de la fête, sa problématique personnelle, pour retrouver une communauté et s'y fondre.
 
Mimi sio Ruge bana.....wala simjui...mapicha yako mengi tu kwenye internet......ni utashi tu...sijui kiusalama raia anatakiwa awe mbali kiasi gani na bega la Rais...hata kama hawajakutana barabarani

Rais1.JPG

Duuuuuh KWELI KUJIKOMBA KAZIIII..... yaani kajikombaaa yupo karibu kabisa na Mh .....mmmh hata aibu hakuna, kweli pesa mwana haramu
 
I respect clouds ilipofika and Ruge mutahaba alipoifikisha, but kitendo cha kumjibu sugu redion amechemsha, silent is the best answer, but pia aliyoyaimba sugu sio ya kuyapuuzia maana waswahili wanasema lisemwalo lipo kama halipo laja, but bifu la hawa jamaa lisiposuluhishwa mwisho wake si mzuri... yasije yakatokea ya kina 2pac na notourious Tanzania..

Sugu na Ruge kama mpo jamii forums na mnasoma hii post, nawaomba msitishe tofauti zenu kama zaman, na msaidiane katika kukuza sanaa nchini kama Wadau
 
jana alihojiwa na mtu mwenye akili anaitwa sebo wa magic fm ilikuwa sawa sana kuliko huyo bwana mdogo hando. Mwana fa ceo wa tfu alihojiwa lakini majibu yake yalikuwa yakujihami sana, alihojiwa huyo ruge nae alieleza hewa pia joseph mbilinyi alihojiwa alikuwa na hoja za maana sio kama watu wengi wanavyo mchukulia!!!!!!

Mwana FA pia BORA akae KIMYA kabisaaa wala asijiingize kwenye hili, Wenzake hao ni wakongwe eti! wamekula Chumvi,Nilimsikia jana Clouds Mwana FA anaongea PUMBA tu. Duh wish ningesikia hiyo ya MAGIC FM na Sebo, Lazima ilikuwa NZURI sana. LAZIMA ruge Achemke, Kazoea kuhojiwa kwa script?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom