KUSAGA vipi Radio yetu?

Status
Not open for further replies.
Clouds Sasa kwa kweli Mna Boa... Kama Huyo Ruge Anahoja na anaona SUGU anamuonea Basi aitishe Press Conferrance na Ajibu Hoja Otherwise Kama hamna vya Kutangaza Zimeni hiyo radio. Mimi anayoongea Sugu naona yupo sahihi ni kweli mtakuwa mnawaminya sana wasanii kwa maana Hata wasikilizaji wenu tu huwa mnawabania, Washindi Mashindano mbali mbali mnayoyaendesha hapo clouds huwa hawapati Zawadi mnazosema, Kwa Mfano kuna wasikilizaji watatu walishiriki lile Shindano la Zantel la High Life wakashinda Lunch at Holiday inn mkasema mtawapigia you never call back na huu ni mwezi wa 3 na Juzi tena mlikuwa mnaendesha ile ya lakionea (Zawadi ya Sh. laki moja) mkahahidi kuwa pigia simu na kuwafungulia account washindi mpka leo hii KIMYAAA. Sasa Boss wenu akiambiwa tapeli mnakuwa Wakali. WHY?? Mjirekebishe. Imekuwa sio radio ya Watu sasa imekuwa Radio ya Wezi!

Mkuu unalazimishwa kusikiliza hiyo radio? Tune Radio Uhuru kama unaona hao wanaboa.

Haaaa,kumbe kweli???za asubuh MWITA 25
Umejitahidi kutoa ya moyoni ingawa hamna ukweli wowote. Clouds fm ni chombo huru na sioni kosa la Ruge kutumia kueleza msimamo wake. Kama una malalamiko mengine ungepeleka mahakamani. Unaonekana dhahiri kwamba ulinyimwa ajira pale sasa unajaribu kutoa machungu yako. Umefanya vizuri sana.

Lakini kwa haya mambo ya kutoa zawadi,nahisi ni kuwalipua tu ili urasimu usiendelee kuwepo

Kwa nini usiweke, post ya East Africa FM, Magic FM, Kiss FM, Times FM, Radio One, Capital FM, Passion FM, Classic FM, na radio utitiri zilizojaa hapa bongo hadi ukaichagua super brand radio station, the people station clouds FM.

Hizo zingine
• hazijapewa studio na Rais
• Hazijagombana na msanii
• Wamiliki wake hawajatokea kujitetea kupitia redio zao

Umejitahidi kutoa ya moyoni ingawa hamna ukweli wowote. Clouds fm ni chombo huru na sioni kosa la Ruge kutumia kueleza msimamo wake. Kama una malalamiko mengine ungepeleka mahakamani. Unaonekana dhahiri kwamba ulinyimwa ajira pale sasa unajaribu kutoa machungu yako. Umefanya vizuri sana.

Hivi kwa nini pale clouds wale jamaa ambao kwa namna moja ama nyingine wanatofautiana aidha na uongozi au na watangazaji nyimbo zao zinapigwa ban huwezi zisikia hewani huku wamiliki wakijikosha haki sawa kwa wasanii kupigwa nyimbo kwa nini hili linakuwa hivi?

Hata madiwani wa Chadema, Arusha walinyang'anywa uanachama pale walipotofautiana na msimamo wa chama. Nadhani jibu limejitosheleza!

Kwa nini usiweke, post ya East Africa FM, Magic FM, Kiss FM, Times FM, Radio One, Capital FM, Passion FM, Classic FM, na radio utitiri zilizojaa hapa bongo hadi ukaichagua super brand radio station, the people station clouds FM.

Sababu mimi ni Shabiki wa Clouds FM! tunajenga hatubomoi.... Kwani wewe Nyumba yako ikipata ufa au ikivuja unahamia kwa JIRANI? Tafakari....Chukua Hatua. Usiwe kama avatar yako hiyo.

Mkuu unalazimishwa kusikiliza hiyo radio? Tune Radio Uhuru kama unaona hao wanaboa.

Fidel80 mimi ni clouds tu! hizo zingine siwezi sikiliza, Tunajenga ndugu yangu hatu bomoi eti...!! hoja zangu zipo hapo zinahitaji majibu! MWITA25 nasikia ndio Ruge him self, kama ni kweli basi atusaidie kufikisha maneno yetu asiwe na JAZIBA.... Mbona at begining alikuwa kimya tu na wala hatukusema kitu, Now tunaona anapotea ndio twamrekebisha, Ile ni Redio ya Watu sio ya MTU(RUGE), Inamaana na Kusaga siku akiwa amepigwa madogo huko aje aanze piga kelele siku nzima pale?? please....!!!

Hizo zingine
• hazijapewa studio na Rais
• Hazijagombana na msanii
• Wamiliki wake hawajatokea kujitetea kupitia redio zao
• Huyo rais akitoa hiyo 'studio' ( maana sugu na miaka yote hiyo kwenye muziki anajidai hajui tofauti ya mastering machine na studio) kwa redio kuna ubaya gani, mbona rais huyo huyo alimpeleka Kubenea India kutibiwa lakini akamwacha Dany Mwakiteleko akafa hatukusikia Sugu wala kuona thread hapa JF.
• Huyo msanii anayegombana na redio ni mtu wa namna gani? Unamjua? Unajua amegombana na watu wangapi toka alipooona amekwisha kimuziki? Unajua stori yake na Master J aliyemtoa kwenye kulinda geti pale BP. Kwa nini msigombane na master J aliyeacha kumrekodia mnagombana na radio inayokataa kupiga slopy music.
• Hao wamiliki wa redio nyingine lini wameshitumiwa kwenye chombo amabacho ni muhimili mmmoja wapo wa dola?

Hata madiwani wa Chadema, Arusha walinyang'anywa uanachama pale walipotofautiana na msimamo wa chama. Nadhani jibu limejitosheleza!
Kumbe ukitaka nyimbo zako zipigwe pale Clouds lazima uwemwanachama,
je form zina patika wapi tulioko mikoani, Form ni bei gani, mashariti ya kujiunga yaako je..

Umejitahidi kutoa ya moyoni ingawa hamna ukweli wowote. Clouds fm ni chombo huru na sioni kosa la Ruge kutumia kueleza msimamo wake. Kama una malalamiko mengine ungepeleka mahakamani. Unaonekana dhahiri kwamba ulinyimwa ajira pale sasa unajaribu kutoa machungu yako. Umefanya vizuri sana.
Mimi nina shughuli zangu Binafsi wala sihitaji kuajiriwa..... Hao Clouds wala hawawzi nilipa mimi, Kama wanashindwa LIPIA Space za minara wataweza nilipa mimi? PM nitakupa LIST ya watu wanaowadai ktk Minara yao! kutwa wanashinda kimbia kimbia tu, Ndio maana nimesema pale mwanzo kuwa.. Kama KUSAGA angekuwa na right Team Clouds ingekuwa more than that! Tafakari...Chukua Hatua.

Hata madiwani wa Chadema, Arusha walinyang'anywa uanachama pale walipotofautiana na msimamo wa chama. Nadhani jibu limejitosheleza!

Umejibu kisiasa mkuu
Ok nilisahau hapo ni kituo cha propaganda za wana magamba

..hahahahahahaaha..kuna kipindi Mengi wa ITV..naye alikua anatumia redio yake kuongea mambo yake..mkapeleka suala bungeni..
...Hv hizo redio zingine haziwezi kuwa juu kama Clouds Fm?...haziwezi kuwa na FIESTA yao?...hebu zisaidieni hizo zingine nazo ziwe JUU
Tuwe wawazi ..hapa Clouds Fm hawana kosa..kosa liko serikalini..wao kama serikali waweke sheria ya HAKIMILIKI..ili vituo vya REDIO viwe vinawalipa WASANII kwa kupiga nyimbo zao....nasi kubaki kulalamika eti CLOUDS inawabania..kumbe hamjui tatizo liko wapi...

• Huyo rais akitoa hiyo 'studio' ( maana sugu na miaka yote hiyo kwenye muziki anajidai hajui tofauti ya mastering machine na studio) kwa redio kuna ubaya gani, mbona rais huyo huyo alimpeleka Kubenea India kutibiwa lakini akamwacha Dany Mwakiteleko akafa hatukusikia Sugu wala kuona thread hapa JF.
• Huyo msanii anayegombana na redio ni mtu wa namna gani? Unamjua? Unajua amegombana na watu wangapi toka alipooona amekwisha kimuziki? Unajua stori yake na Master J aliyemtoa kwenye kulinda geti pale BP. Kwa nini msigombane na master J aliyeacha kumrekodia mnagombana na radio inayokataa kupiga slopy music.
• Hao wamiliki wa redio nyingine lini wameshitumiwa kwenye chombo amabacho ni muhimili mmmoja wapo wa dola?
Mlienda kumtibu kwa sababu mlikuwa wahusika kwa nia moja au nyingine....ndiyo maana jamaa anawachukia kuliko...

Una uhakika gani na ajali ya Danny Mwakiteleko hatuhusiki au huji kuwa naye ilikuwa ni ajali?

Wamiliki wote wa redio wangekuwa na priviledge hizi haya yasingetokea

tht+miaka+3.JPG

• Huyo rais akitoa hiyo 'studio' ( maana sugu na miaka yote hiyo kwenye muziki anajidai hajui tofauti ya mastering machine na studio) kwa redio kuna ubaya gani, mbona rais huyo huyo alimpeleka Kubenea India kutibiwa lakini akamwacha Dany Mwakiteleko akafa hatukusikia Sugu wala kuona thread hapa JF.
• Huyo msanii anayegombana na redio ni mtu wa namna gani? Unamjua? Unajua amegombana na watu wangapi toka alipooona amekwisha kimuziki? Unajua stori yake na Master J aliyemtoa kwenye kulinda geti pale BP. Kwa nini msigombane na master J aliyeacha kumrekodia mnagombana na radio inayokataa kupiga slopy music.
• Hao wamiliki wa redio nyingine lini wameshitumiwa kwenye chombo amabacho ni muhimili mmmoja wapo wa dola?

Radio yenu imefunga ndoa na chama cha magamba ndo maana mnatupiwa mawe.
Kwa nini Uhuru au Magic FM au Wapo FM na nyinginezo hazinyoshewi vidole ni Clouds tu?
Radio au Chombo habari huru kinapo jiingiza kwenye mambo ya siasa madhara yake ni makubwa kuliko mnavyo fikiria.
Angalieni Rwanda na Burundi kilicho tokea pale

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom