Kusachiwa wanaume.....

hayo macho yako tu mm hoi...
na leo usiku naenda kuyafanyia kazi...
ntarejea kesho asubuhi na majibu
shshshshshs babu Asprin asikusikie! hachelewi kuhamisha bahari nchi kavu! khaaaaa, ulete majibu tena uninong'oneze!
 
Last edited by a moderator:
eeh patamu hapo si ntakuwa najitelezesha sasa......hahahahahahaa......

Bhoo!
Ujitelezeshe tena?
Mwisho mara 2'
ukirudia tena sikudaki na utaangukia kwenye 'tope'.
Teh teh teh teh

Ila usininukuu vibaya.
 
ivi na wewe una mamboo madame?
kunyumba kuko mia mia...

Mamboo ndio ninayo.
Hebu yaangalie,
Mamboo BAGAH?
Umeyaona?
Au unamaanisha ya kule kwa akina Rungu?

We sema tu nyumbani mia mia wakati ukirudi tu home,
we ndo H/girl. na wewewewe ndo H/boy.
Off ukienda Kazini.
 
Last edited by a moderator:
Mamboo ndio ninayo.
Hebu yaangalie,
Mamboo BAGAH?
Umeyaona?
Au unamaanisha ya kule kwa akina Rungu?

We sema tu nyumbani mia mia wakati ukirudi tu home,
we ndo H/girl. na wewewewe ndo H/boy.
Off ukienda Kazini.

ndio maana nataka niweke kitu ndani...
sema ndio ivo kumfuga KUNGURU nayo ni kazi.!..kheee!
 
Last edited by a moderator:
ndio maana nataka niweke kitu ndani...
sema ndio ivo kumfuga KUNGURU nayo ni kazi.!..kheee!

Kunguru wa Dar ndio hawafugiki lakini wale wa Zenji wanafugika kbs.
So your choice...!!!
Enjoy...!!!
Bara au Pwani.
 
Back
Top Bottom