Kusachiwa wanaume.....

Yaani mwalimu wangu Madame B ndo ivo uko?

Mwanafunzi wangu Kaizer,
Me mwl wako nikiwa skonga.
Nikishaacha desk lako tu,nakuwa Kinyonga.

Ila Nyie bhana mmezidi kutusachi.
Subiri mwanangu wa kambo akue,ole wenu mumpige sachi,
Tutaandamana.
 
Last edited by a moderator:
Mpunga si utakusumbua kukoboa? Nakuwa na mchele kabisa.

Haya twenzetu basi acha longolongo mingi...

Noo...!!!
Ntakoboa menyewe bhana.
Mashine ipo ndani ina saga na kukoboa.
Labda uje na 'Pakacha'.
 
come in papito! mbona uko nje?? njoo bwana!
Am cumming darlie.... niko hapa Samaki Samaki namalizia burger....

attachment
 
Wezi tu hao, niliwahi kuwa na GF ambaye nilimdaka live anasach trouser yangu nilipokwenda kuoga. Basi tangu siku hiyo nikawa namuona kama kijizi fulani, hasa ukizingatia nilikuwa napoteza fedha zangu ktk mazingira ya kutatanisha. Tulikuja tukaachana kabisa, nikapata mwingine ambaye hata nikiweka wallet yangu sehemu naikuta salama salmini, mpaka nimpatie mwenyewe.
 
Fungua Waamuzi.
Mstari nimesahau.

Sasa kama tunataka usawa ndio mtupige sachi?
Halafu mwingine anakwenda Mbali zaidi,anakusachi eti kama umetoka kulala na mwanaume.
Nyiee...!!!
Wabaya sana.

eeeeeh anatega sikio halafu inamwambia huyu katoka kunaniii.........
 
Fungua Waamuzi.
Mstari nimesahau.

Sasa kama tunataka usawa ndio mtupige sachi?
Halafu mwingine anakwenda Mbali zaidi,anakusachi eti kama umetoka kulala na mwanaume.
Nyiee...!!!
Wabaya sana.

Hapo inaonekana ni uongo! Kitabu cha Waamuzi hakizungumzii mambo ya wanawake wala ndoa, ungeniambia kitabu cha Wimbo Uliobora kidogo ningehamasika kuamini.......
 
Hapo inaonekana ni uongo! Kitabu cha Waamuzi hakizungumzii mambo ya wanawake wala ndoa, ungeniambia kitabu cha Wimbo Uliobora kidogo ningehamasika kuamini.......

Dah! Kimbweka,
nia yangu niseme Wimbo ulio bora,
sema tu vidole vilitereza ndo ikajiandika Waamuzi.

Unaijua Biblia wewe?
Tusije kuwa tunachana mistari na Mapadri humu Jf!!
 
Last edited by a moderator:
Dah! Kimbweka,
nia yangu niseme Wimbo ulio bora,
sema tu vidole vilitereza ndo ikajiandika Waamuzi.

Unaijua Biblia wewe?
Tusije kuwa tunachana mistari na Mapadri humu Jf!!

Hapa kwa bible umefika
Halafu ukifanya kosa niiten ikuungamishe sambi sako eeehh
 
Back
Top Bottom