Kurudishwa jairo kwa wakera wabunge.

shaliza

Member
May 27, 2011
17
0
Katika hali isiyo ya kawaida kwa Wabunge walihoji bungeni kulikoni Bw,David Jairo kurudishwa kazini katika kile kilichoitwa kamati ya upelelezi wa Bunge na ile ya wizara ya nishati na madini (CIG),katika kile walichokiita alifanya uchangishaji wa fedha wizarani ili bajeti ya wizara ya nishati na madini ipitishwe katika Bunge. hali iliyoleta mtafaruku kwa wabunge kwa kile wlichokiita kwamba ile bajeti haijitoshelezi na baadhi ya wabunge walikaataa kuiunga mkono.

hata hivyo Rais JAKAYA KIKWETE alisema kwamba Katibu mkuu huyo ataenda likizo kwa malipo maalumu ili kupisha kamati ya upelelezi ya Bunge ifanye kazi yake.
 
Huyo David Jairo asikae bure wkt
analipwa mshahara bure, NASHAURI
APEWE VIPINDI VYA HESABU KATIKA
SHULE MOJA YA SEKONDARI
AFUNDISHE!
 
wizara ya nishati na madini ilifanya upelelezi wa haraka kabla ya kusubiri uamuzi wa bunge maoni yangu hapo wangesubiri kidogo.
 
Jaman mbna mtoa maada hana cha maana cha kututaka tuchangie? Ama anataka kujifurahisha.
 
Back
Top Bottom