Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Asante sana kwa mleta swali maana sio siri nilikuwa mbioni pia kuuliza swali kama hili hili! kwa maana hiyo mashine za wanawake siku hizi ni mbovu! maana ukipita kila kona wimbo ni huu huu, jamaa akipiga goli moja ndo mpaka kesho yake au baada ya siku hata tano hivi! yani mpaka unaanza kumuhisi vibaya yani. Kama mimi nilishawahi kuuliza, nilishoambiwa kwamba uchovu ndo unaomfanya awe hivyo? Kwa hiyo kwa kuwa unampenda inabidi uvumilie na kuamini hivyo hivyo siku ziende.

Pamoja na factors zote kuna factor moja kubwa ambayo tunaisahau. Sex ni psychological phenomenon. Ni kitu ambacho hujengwa kwa fikra zaidi hasa kwa binadamu.

Wanyama wao wamepewa uwezo wa kunusa na kupata harufu inayomuwezesha kujua kuwa mwenzake yupo kwenye "heat period" na hapo naye hupandwa na hormone za kufanya mapenzi au mating.

Binadamu tumenyimwa uwezo huo wa kutambua kwa harufu, na hivyo tumepewa uwezo wa kutumia vision, yaani ukiangalia maumbile ya mwanamke ndiyo yanayoweza kukufanya kujisikia kufanya nae mapenzi regardless yupo kwenye "heat period" au la.

Utamaduni wetu umechangia sana kumaliza matamanio ya wanaume kufanya ngono. Tamaduni hizi zinatokana na mavazi hasa kwa upande wa wanawake. Zamani enzi za mwalimu ilikuwa kuona mguu wa mwanamke au miraba ya nguo ya ndani ya mwanamke ashakum (chupi) ilikuwa ni kama kuona moto unawaka ndani ya maji. Na ukiona tu basi jamaa atakwenda nyuzi tisini mpaka atakuwa anauma.

Siku hizi kuona mgongo, matiti, makalio, mapaja, na hata wakati mwingine nguo ya ndani kabisa kama "thong" kimekuwa ni kitu cha kawaida. Sasa vitu kama hivi vyote vinawaondolea wanaume psychology ya kufikiria visivyofikirika na hata kuwapa hamu ya kufanya tendo mara kwa mara. Nakumbuka enzi za mwalimu ilikuwa mnamaliza shughuli unajisikia umechoka mkianza kuvaa tu ukimuangalia mwenzako mzee anataka tena na kuanza kupumua kwa ishara kama vile anasema, "tena! tana!, tena!, tena!". Unarudi mpaka unajisikia nothing comes out but air like.

Siku hizi haya hayapo kwani ukimuangalia mwenzako unaona ni kama wengine wengi ambao huwaona nje wengi tu waliokuwa wanakutesa siku za nyuma mpaka ukazoea.

Kuna studies zimefanyika zinakadiria kuwa wanaume wengi wameathirika kisaikolojia kiasi ya kupote uwezo wao wa kufanya ngono more and more.

Note: Heat period- ni kipindi ambacho ovum/ova zipo tayari kwa kurutubishwa endapo ita/zita kutana na sperm(s)
 
Pia na wanaume nao hawajui kudeal na ishu za namna hii.....wengi wa wanaume wanafikria mapenzi ni kuchoma choma nje ndani kibaoo....

..mapenzi sio kihivyo....wajifunze kuzamia 30-45 mins wafanye window sex shori akiwa kesha score 2 yeye ndio aingie amalizie na kabao kake ka1.....

Hiyo comment yako nimeipenda, imetulia.. ila inategemea na demu mwenyewe kama analipa kuanzia figure, sura na mashine yenyewe, pia inategemea na psychological state ya mwanaume, mfano kama ulikuwa unamtamani msichana kwa muda mrefu sana, siku utakayompata unaweza ukapiga hata bao 4 mfululizo, ukisha mzoea hata hamu ya hako kamoja inikuwa taabu...
 
Inawezekana ulikuwa umezoea kujichua hizo ni moja ya adhari zake mdogo wangu

Ndugu una scientific evidence kuthibitisha hili? isije ikawa na mawazo yako na unaifanya kama fact.

Maana nimetoka kusoma medical journal kuhusu faida na madhara ya kujichua and no where does it say that.
 
feelings muhimu sana mi nakumbuka nikikumbana na mwanamke na nimeamua kumfanyia vituko mwanzo kabisa kuabli ku pisi nje second mmmhhhh kwangu lazima nirudi ndani then pizi.

ila na penda kukuakishia kama unafanya mapenzi ukiwa unamkumbuka mwalimu wako aliekuchapa bakora...utapizi baada ya nusu saa...mi nakumbuka nilikuwa nikisugua huku na mkumbuka jamaa mmoja boss wa ofisini anavyyonikera...weeeeeeeeeee mwanamke lazima apige kelele..so ukiamua kuweka feelings ready for sxy aahhh unaweza.../
 
na kwanini upige goli 5?..za kazi gani na kwa faida ya nani?....mie mwenzenu huwa napiga 2 tuu..

moja huwa napiga oral ya pili huwa napiga ya ukweli....ila ya oral huwa inaanza kisha inafuatia hiyo yaukweli..NOTE..ila nikiwa napiga hiyo ya ukweli hapo ni 2hrs za shughuli..bibie anakojoa mpaka anachoka mzee ndio nakuja...kwa hiyo...BAO MOJA DEAL AS LONG AS MWENZIO ANAKUWA SATSFIED NA KUPIGA MA-ORGSM YA KUTOSHA...

hitimisho..vidume vya sikuhizi vinakurupukia kufanya ngono na sio kuwaandaa wenzao....foreplay isipungue 1-2 hrs, piga cha kwanza hewani maana huwa nacho kina-kiherehere sana, na mwisho piga hicho kimoja kistaarabu na kwa ufundi wa hali ya juu huku ukigusa G-SPOTS za ukweli....hapo utalinda heshima ya kiumeni
 
na kwanini upige goli 5?..za kazi gani na kwa faida ya nani?....mie mwenzenu huwa napiga 2 tuu..

moja huwa napiga oral ya pili huwa napiga ya ukweli....ila ya oral huwa inaanza kisha inafuatia hiyo yaukweli..NOTE..ila nikiwa napiga hiyo ya ukweli hapo ni 2hrs za shughuli..bibie anakojoa mpaka anachoka mzee ndio nakuja...kwa hiyo...BAO MOJA DEAL AS LONG AS MWENZIO ANAKUWA SATSFIED NA KUPIGA MA-ORGSM YA KUTOSHA...

hitimisho..vidume vya sikuhizi vinakurupukia kufanya ngono na sio kuwaandaa wenzao....foreplay isipungue 1-2 hrs, piga cha kwanza hewani maana huwa nacho kina-kiherehere sana, na mwisho piga hicho kimoja kistaarabu na kwa ufundi wa hali ya juu huku ukigusa G-SPOTS za ukweli....hapo utalinda heshima ya kiumeni

Mh!! nyie wataalam, taratibueee!
 
Jadilianeni, lakini mkumbuke taifa letu ni changa na ujenzi wa taifa unawasubiria..lol
 
wapeni wanaume wenu vyakula vya kuijenga miili pia kama wanakunywa pombe kuna baadhi ya pombe zinachosha ukinywa unapiga kamoja tu hoi hivyo kula vizuri na kama ni mnywaji wa pombe aangalie aina ya pombe anayokunywa pia kiasi anachokunywa isijekuwa ni tatizo pia.

pia angalieni swala la kiakili isijekuwa wana stress mingi na inabidi wafanye hilo tendo kwaajili ni lazima na hawajaridhia kama anamkopo wa benki na anafikiria kuulipa usijeukategemea akaaenda round mbili hata shughuli kusimama yeyenyewe inakuwa kazi hili tende ni swala la kiakili zaidi na kama ni mtu wako alikuwa vizuri na sasa umeona tofauti basi jaribuni kukaa na kilijadili hili mjue tatizo nini pia kama anapiga nje nalo ni tatizo na itakuwa ni wewe ndiye uliyesababisha akatoka nje maana kama unampikia chakula kitamu kwanini akale hotelini?
 
Mmmh makubwa, na hapo hapo unasifiwa kuwa machine ni bomba, au huwa ni fix. Haya ndugu nionyeshe hayo mazoezi yakhe ya fanywaje?

Kha! karibu sana ukumbini mzee mzima lakini? Nitakutambulisha kwa Masanilo, Mbu, Msanii na ...
 
Kwa nini wanaume wengine ni shughuli kurudia sex baada ya bao la kwanza?

Na assume kuwa mleta mada ni mwenye jinsia ya kike na atakuwa amekutana na mwanaume ambaye akipiga bao moja tu- mchezo umekwisha, yani kama sudden death vile kwenye soka! Na mwanamke huyu anakereka kwa kuwa ni either mwenzie anapiga bao mapema kabla yake na kumuacha yeye akiwa njiani au ananogewa sana na mchezo kiasi ambacho anaona bao moja halitoshi!

Mimi binafsi sidhani kama idadi ya magoli ninayopiga ina matter sana kwangu, priority yangu ni magoli anayopiga demu. Kama mwanaume unajijua wewe ni wa 'magoli ya jogoo' unatakiwa usi rush kuupanda mzigo, take your time na foreplay kwa sana, ikibidi mpige demu bao la kwanza bila hata kutumia mashine kubwa. Punde unapoipanda ngoma, piga taratibu huku ukiwazia kitu kama msiba wa mtu wa karibu ambaye ulikuwa umemzoea, ukiskia jamaa wanakuja kwa mbali- chomoa haraka na kamata shingo ubonyeze kichwa kwa nguvu but gently, jamaa watarudi walikotoka! Iwapo utaamua kucheka na nyavu na mwenzio bado hajapiga bao au unataka muendelee na 'extra time', nashauri bao lako la kwanza upigie nje, mara nyingi ngoma haitalala kama utafanya hivi na utaweza kuendelea baada ya kufanya 'kausafi' kidogo kwa mwenzio.

Nije kwenu kina dada, ni kweli wakati mwingine mnachangia sana tushindwe 'kupiga cha pili'. Ngoma nyingine utakuta zinatema kichizi, nyingine ni mafuriko mtindo mmoja, kufuli chafu lina nyuki kibao afu kila siku hilohilo, kwapa linatema nalo, na wangine hamuhamasishi kabisa, mnalala tu kitandani kama magogo! (nawaita DIB- Dead In Bed). Naamini mwanamke anayejituma ana uwezo wa kuamsha mashine yoyote iliyolala hata kama imepiga bao kumi, ni uvivu wenu tu.

KKN- JF Senior Sexpert.
 
Jadilianeni, lakini mkumbuke taifa letu ni changa na ujenzi wa taifa unawasubiria..lol

Mtindio,
Naamini sex ni sehemu mojawapo ya ujenzi wa taifa lolote, bila sex watu hawazaliani na effect itaonekana kwenye labour force! Na sexual activities za nchi zaweza tumika kama kigezo cha kupima maendeleo, maendeleo hayapimwi kwa ujenzi wa shule, viwanda au zahanati tu!!!LOL
 
Mtindio,
Naamini sex ni sehemu mojawapo ya ujenzi wa taifa lolote, bila sex watu hawazaliani na effect itaonekana kwenye labour force! Na sexual activities za nchi zaweza tumika kama kigezo cha kupima maendeleo, maendeleo hayapimwi kwa ujenzi wa shule, viwanda au zahanati tu!!!LOL

teh teh teh...

Taib sheikh, ila hiyo hiyo sex inaweza ikawa chanzo cha maangamizi kwa taifa, mathalan magonjwa ya kuambukiza, STD & HIV-AIDS etc.

Actually nilichokuwa kinaniogopesha ni baadhi ya maoni ya wadau, yamenitisha mno, sipendi kuyarudia ila yanatishia uhai wa taifa..lol
 
teh teh teh...

Taib sheikh, ila hiyo hiyo sex inaweza ikawa chanzo cha maangamizi kwa taifa, mathalan magonjwa ya kuambukiza, STD & HIV-AIDS etc.

Actually nilichokuwa kinaniogopesha ni baadhi ya maoni ya wadau, yamenitisha mno, sipendi kuyarudia ila yanatishia uhai wa taifa..lol

hahahahahahhahaha
 
Wakuu wa Jamvi, Mambo ya Sex ni ya kiakili zaidi, suala la Kupiga goli mapema au Kupiga kimoja then unasinzia inategemea zaidi na mind set. Ukiamini kwamba ukichomeka tu Wareno wanatoka ndugu yangu huwezi kuzuia the same as ukiamnini kwamba ukipiga goli la Kwanza basi Jogoo hasimami tena

Hili jambo haliwezi kutibika bila ya wawili wapendanao kujadiliana kwa uwazi bila kificho.

Fore play ni muhimu sana kwa mtu ambaye anaface hili tatizo na lazima ieleweke kwamba how long should you do it (Foreplay) inategemea na kila mwanamke, so ni vizuri kujifunza kujua mood ya mpenzi wako anapokuwa katika orgasim, kaka akifika orgasim katika foreplay wala huhitaji kupiga bao mbili, za nini? Unapiga moja la kiujuzi baada ya hapo yeye sasa ndio anasizinzia.

Jambo lingine ni kwamba watu wengi ( Wanaume huwa wanakuwa controlled na Bao yaani anapopiga bao basi anajiachiia kiasi kwa nguvu zake zote zinamalizwa kabisa (Epuka kuhamishia nguvu zako zote chini ya Kitovu), Jaribu kucontrol Bao lako, jaust relux wakati unapiga Bao na utashangaa hata jogoo anaweza asilale kabisa na ukaendeleza second phase.

Kuna wengine wamesema bao la kwanza piga nje, that’s great hii ni moja kati njia ya kupambana na tatizo but kama huwezi basi tumia Condom kwa bao la kwanza then mabao mengine piga kavu na Mashine utaikuta bado ni kavu kavu.

Ili kuchelewa kupiga bao epuka kufanya Mapenzi kibubu lazima upige kelele na kugugumia hii itakusaidia kukutoa wewe kwenye kufikria zaidi lile lendo ( coz ukifanya hivo kaka Wareno lazima watie timu) vile vile jishugulishe na mambo mengine kama romance huku mkiongea na mpe wako kimahaba, hapo kaka unaweza ukakesha mpaka mwenyewe aseme basi, vile kama wewe uko sensitive sana basi jaribu kucontrol your speed of execution ila ukimcheki usoni mwenzio na kumsoma kwamba yuko hoi bin taaban angojea wareno basi kaka waweza kuongeza speed ( So ni mwendo wa Speed up and speed down)

Lakini yote hayo yawezekana kama tu Utasema YES I CAN

Asante.
 
Mie nakumbuka siku za mwanzo naanza kuitumikisha tupu yangu ilikuwa ni hatari kubwa kwani niliweza kwenda kimiani mapema sana lakini zile majalo za kutingisha cha pili au tatu ilikuwa ni lazma nicheze ka kiungo straika ili niweze kufunga rather than stickin striker, lakini miaka hii ingawa sipati mechi nyingi lakini nachelewa sana kufunga na pia sifungi nyingi pia nakuwa tired sana!

Bt nkajua nawaza sana mambo ya nje ya uwanja kuliko kuwaza gemu,
 
inafika wakati unawaza! dah! cjui kesho ile deal itakubali? aah! cjui hii ground kimeo au cjui ntawarudisha mapema mafans! au au na cjui zinakuwa kibao, so hii yaweza pelekea kuwah au chelewa kuwarudisha senta! nkakumbuka pia anh haa! enzi zile niliweza kuwa ktk form kwakua ilikuwa no majkumu, grand alikwepo ful kuniwekea misoc, maziwa, kekikeki, matunda kila nktimba skani, so nlipopata gem lazma nionekana star' fizkal fit! bt sasa ni tiatia wota,
 
Back
Top Bottom