Kurudia kidato cha kwanza 2013

Jul 21, 2012
13
0
Ni kweli wanafunzi watakaoshindwa mtihani wa kidato cha pili watarudia darasa au watafukuza? kwa maana kuna mwalimu mkuu wa shule moja hapa jijini mwanza amesema mwanafunzi atakayefeli mtihani wa kidato cha pili atamfukuza kwa maana kidato cha kwanza kuna wanafunzi zaidi ya mia mbili pia kidato cha pili kuna wanafunzi zaidi ya mia moja na hamsini. je, iwapo watafaulu wanafunzi hamsini kuingia kidato cha tatu na hawa mia watarudia kidato cha pili madarasa atayatoa wapi? na darasa la kidato cha pili litakuwa na wanafunzi zaidi ya mia tatu na hamsini.
 
Kama hiyo shule ni PRIVATE ni sawa,ila kama ni GVT,hakuna kufukuza dent atarudia kidato cha II . .!
 
Ni ya selikali au private?? Ka ni private anaweza fukuza ila ka ni zile zetu kazi anayo
 
Ni kweli wanafunzi watakaoshindwa mtihani wa kidato cha pili watarudia darasa au watafukuza? kwa maana kuna mwalimu mkuu wa shule moja hapa jijini mwanza amesema mwanafunzi atakayefeli mtihani wa kidato cha pili atamfukuza kwa maana kidato cha kwanza kuna wanafunzi zaidi ya mia mbili pia kidato cha pili kuna wanafunzi zaidi ya mia moja na hamsini. je, iwapo watafaulu wanafunzi hamsini kuingia kidato cha tatu na hawa mia watarudia kidato cha pili madarasa atayatoa wapi? na darasa la kidato cha pili litakuwa na wanafunzi zaidi ya mia tatu na hamsini.

hii ni danganya toto kama ile ya usipooga leo,hauli wali
 
Back
Top Bottom