Kurudi kwa AfroIT

aH SAFI SANA LAKINI WAKATI MUNAIONDOA MUNGETWAMBIA PIA, KWA MAANA TULIPOKUWA TUNAWAULIZA KUNANI MLIKUWA HAMTUJIBU NAFIKIRI HUO SIO UTENDAJI KAZI MZURI.NIMEFURAHI SANA KUIRUDISHA AfroIT KWA MAANA NI KISIMA CHA ELIMU
 
Yeah ni kweli, tuliiondoa bila taarifa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Kwa sasa tumerudi tukiweka mkazo kwenye ushirikishwaji wa members, ushirikiano kati ya member na member na pia muonekano usiomchosha msomaji. Kama ilkivyokuwa kawaida, pia tutalitumia hili jukwaa la Jamii Forums (Tech forums) katika kufikisha taarifa kwa wananchi wengi zaidi.Pamojah
 
Jamani sisi wengine hiyo AfroIT hatuijui tupeni link yake au tunaingia vipi tuweze kupata material
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom