Kurudi jamvini baada ya muda!!!!!!!!!!!!

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,712
1,906
Nawashukuru wana jamii kwa updates zenu zenye ukali kama ndimi za moto. Tena Forum imekuwa kama weakleaks ya TZ. Tukio la kufurahisha ni la RA kukimbia baada ya kujitetea kwa muda mrefu akisaidiwa kwa karibu na Bwn Bashe. Sasa kazi ndio imeanza, sijui huyo Bwn White head na Vijisenti wanangoja nini, mwenzao kaisha onyesha njia!!!!!!!!!!!!! Nawapongeza Jamii Forum tena mzidi kukaza buti mapambano ndio yameanza. Wanamagamba wameshtuka wanaweweseka wanaumbuana, lakini tusipoteze mwelekeo. Nilikuwa Kampala ngao wa umeme kama kawa, pamoja na mahydro power stations umeme hautoshi, wana mpango wa Bujagali hydro power dam nadhani itaokoa jahazi kwa wenzetu. Sisi tuna mpango upi??????? Wabunge wanahongana mahela tuuu!!!!!!!! Aluta Continua.
 
Back
Top Bottom