Japo hii ni zero thread lakini nina hamu sana ya kuona Pinda anaondolewa u-PM.Shauku yangu ni kura zimetosha kumuondoa huyu the so called mtoto wa mkulima au unafiki tu wa wabunge wetu ????
Nawasilisha
Japo hii ni zero thread lakini nina hamu sana ya kuona Pinda anaondolewa u-PM.
jadili hoja iliyoko juu acha kujadilia thread mazafataAmeamka moja kwa moja na kausingizi kaamua kuongeza thread.