Elections 2010 Kura zilizoharibika 2.x%....!?

Endeleaaa

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,485
738
Hivi kweli inawezekana vipi majimbo karibu yote ya Bara na visiwani kura zilizoharibika zinaacheza hapo kwenye 2.x%? Ina maana kutofahamu yetu ya jinsi ya kupiga kura hadi tunaziaribu nchi nzima bila kujali wa mjini na wa vijijini inafanana?
 
Back
Top Bottom