Elections 2010 Kura za Zanzibar kumpa ushindi JK

lembeni

Member
Sep 8, 2010
31
1
Ni mtazamo tu msijenge chuki

Kuna uwezekano mkubwa ccm ikashinda uchaguzi mkuu bara kwa kutegemea sana kura za nzazibar.Ccm ambayo ina wanachama karibu nusu ya wapiga kura wa zanzibar ambao wanaiunga mkono .TOFAUTI NA CHADEMA ambayo haina mtandao mkubwa zanzibar.wakati Mgombea wa Cuf BARA naye akiwa na uhakika wa kupata kura za wana Cuf wa nzanzibar ambao nao inakadiriwa kama nusu ya wapiga kura wote.Kwa bahati mbaya Chadema haina mtandao mkubwa zanzibar na wala haina mgombea urais zanzibar haitegemei kupata kura nyingi kutoka zanzibar hivyo kuathirika kwa kiasi kikubwa na pengo hilo la kura za nzanzibar.
 
aliyesea CCM wanashindaga Zanzibar nani..ukisema CUF ntaelewa...kule tena mwaka hu ndo wana hali mbaya shein anaonekana zezeta hawezi mikiki ya Seif.
 
nilikuwa Zenji juzi tu, pale kwenye kuta za bandari hata darajani sikuona picha ya Lipumba zaidi Ya Seif,Shein na JK. nilipata maswali kidogo, inaonekana kwa Znz CUF hawanampango na mgombea wao wa Muungano. labda Pemba mambo ni tofauti
 
kama huna yaarifa ni kuwa wapiga kura wa zenj yote kwa mwaka huu ni laki 4 na ushenzi tu,waliojiandikisha kwenye uchaguzi wa mwaka huu wamepungua,sasa kama kura laki 4 ambazo hazifiki hat nusu ya wapiga kura wa mbeya au kanda ya ziwa zitatosha kumpa urais huyo jk photocopy basi ni kihoja cha karne
 
Urassa,unanitisha hapa,hii ni kweli au unabahatisha.maana sina hesabu sahihi ya sensa ya zanzibar,kama ni kweli zanzibar ina sensa ya wapiga kura laki 4 basi JK imekula kwake.
 
..... Fanya utafiti wa kina Unguja na Pemba hakuna wapigakura wanaozidi laki tatu. Sio hoja sana!! Labda useme viti vya ubunge na sio kura kama kura.
 
Urassa,unanitisha hapa,hii ni kweli au unabahatisha.maana sina hesabu sahihi ya sensa ya zanzibar,kama ni kweli zanzibar ina sensa ya wapiga kura laki 4 basi JK imekula kwake.

Kwani mwezetu hujui kuwa wakazi wa ZNZ ni just over 1 million tu!!!??
 
Ni mtazamo tu msijenge chuki

Kuna uwezekano mkubwa ccm ikashinda uchaguzi mkuu bara kwa kutegemea sana kura za nzazibar.Ccm ambayo ina wanachama karibu nusu ya wapiga kura wa zanzibar ambao wanaiunga mkono .TOFAUTI NA CHADEMA ambayo haina mtandao mkubwa zanzibar.wakati Mgombea wa Cuf BARA naye akiwa na uhakika wa kupata kura za wana Cuf wa nzanzibar ambao nao inakadiriwa kama nusu ya wapiga kura wote.Kwa bahati mbaya Chadema haina mtandao mkubwa zanzibar na wala haina mgombea urais zanzibar haitegemei kupata kura nyingi kutoka zanzibar hivyo kuathirika kwa kiasi kikubwa na pengo hilo la kura za nzanzibar.

SHAURI YENU, KWANI ALIYEWAAMBIA MSIJIPANGE Zanziba ni nani? Hamkawii kusema eti Msajili wahuko ni CCM na amewakatalia kukisajili CHADEMA.

Kwa taarifa yenu si Zanzibar tu bali pahala pengi Tanzania CHADEMA HAISIKIKI. Kama huniamini waulize wjuzi wa CHADEMA hapa JF NI MAJIMBO MANGAPI CHADEMA HAWAJAWEKA MGOMBEA WA UBUNGE? Ukipata jibu basi ujue majimbo hayo yote CHADEMA HAISIKIKI NA WALA HAITAPATA KURA ZA URAIS.

Nashukuru sana umeiweka hii thread, itafungua macho wengi.
 
majimbo hayo yamepungua hadi yamebaki machache sana. Returning officers waliihunia chadema kwa kuwazuia wagombea wao. NEC ilipitia tena majina hayo na kurudisha wagombea wa chadema. Kama huamini muulize pal wako Masha akuambia joto la nyamagana baada ya mgombea wa chadema kurudishwa kwenye kura na NEC.

BTW - zanzibar ina wapiga kura wangapi? na kati ya hao, wangapi wataipigia CUF?
 
Kama huniamini waulize wjuzi wa CHADEMA hapa JF NI MAJIMBO MANGAPI CHADEMA HAWAJAWEKA MGOMBEA WA UBUNGE? Ukipata jibu basi ujue majimbo hayo yote CHADEMA HAISIKIKI NA WALA HAITAPATA KURA ZA URAIS.

Wajemeni jibuni swali hili la msingi, ili tujuwe hii CHADEMA ni ya watu gani haswa!! Mana nilitegemea chama cha kitaifa kiwe na wagombea ubunge katika kila jimbo ili kuleta uwakilishi.
 
kama wewe una jibu unaweza kuliweka tu, kwa nini utegemee wengine wakufanyie home work?
 
Ningekuwa na jibu nisingeuliza. Najuwa tu kwamba kuna majimbo CHADEMA wameyaona "hayana umuhimu wa kuyawakilisha" au wanazani kwenye majimbo hayo "wanaishi nyani" au wanazani "kura za watu wajimbo hayo zina nguvu nusu tu". Lakini sijui ni majimbo mangapi, ndio maana nauliza idadi yake.
 
Back
Top Bottom