Elections 2010 Kura za walimu kurejea kwa JK

kuna tetesi zinasema kuwa chama cha walimu tanzania (cwt) kinaandaa sherehe za siku ya walimu duniani ambayo itafanyika mkoani ruvuma na mgeni rasmi atakuwa j.m. Kikwete. Hii inaweza kubadilisha upepo wa kisiasa na kuongezea angalau kura kwa jk na ccm. Hapa la msingi zaidi ni kuwa dk. Yahya inabidi aongeze mara dufu ulinzi usioonekana maana akianguka katika sherehe hizi uchaguzi utakuwa umeishia hapa. Mwenye habari zaidi, atujuze zaidi. :spider:

mama sitta alikuwa mwenyekiti wa chama cha waalimu tanzania (cwt) kabla ya kuteuliwa kuwa waziri, baada ya yake ndio akaja ndg gratian mukoba ambaye alihongwa na kapuya na akawasaliti waalimu katika mgomo wao. Ndio maana waalimu walitaka kumtoa roho pale diamond jubille. Ni wazi kuwa anatumika tena kuwasaliti waalimu na wafanyakazi. Kama ilivyokuwa diamond jubilee ataumbuka tena siku za hivi karibuni
 
1wafalme 8: 44- Ikiwa Watanzania wametoka kwa ajili ya kupigana na adui zao kwa njia yo yote utakayowapeleka( hata kwa kupiga kura) wakikuomba bwana Kuelekea Mji huu uliouchagua na nyumba hii (ibada)niliyojenga kwa jina lako, basi uyasikie huko mbinguni maombi yao na dua yao, ukaitetee HAKI yao..
 
Back
Top Bottom