Elections 2010 Kura za MwanaHalisi: Slaa AONGOZA

wewe njiwa si daktari,na kwenye moja ya post yako ulikuwa unasema wewe bongo hurudi tena,na ulilalamika kushusu mishahara ya wabunge ni mikubwa na ya madaktari ni ndogo.sasa leo mbona unaongea as if umesharidhika na maisha na hutaki mabadiliko tena?duh,sisi watanzaia kwa ajili ya ufisadi tunaweza kuuza wake zetu pia,bora matumbo yajaye,we rare selfish creatures,yes we africans are selfish,we just think about ourselves,but we njiwa huoni watu wanavyokufa na njaa,i did not expect this from an educated person like you.you wasted the chance of another person who had taken your place to go to school and may have helped in changes,but you are educated and you want rest of tanzanians to be illitrate so tht you can rule them forever.
 
Hizi kura za maoni zimewachanganya sana CCM. Nimeona Daily News leo wamebweka kweli mpaka wanatoa maneno ya kejeli kuonyesha jinsi gani wako nyuma ya CCM. Hawakutegemea matokeo wanayoyaona maana walitegemea yawe mazuri wajipendekeze ikala kwao. Ngoma inogile.
 
bado si dactari .. still nipo mafunzoni.. ni kweli mwanzo nilikuwa nashibikia sana chadema .. baada ya kuona kampeni zao ni kukosoa serikali badala ya kusema watafanya nini..? huku kikwete akizidisha mishahara ya interns tanzania! upo uwezekano mkubwa akatolea macho swala zima la AFYA .. TZN yetu
 
Hizi kura za maoni zimewachanganya sana CCM. Nimeona Daily News leo wamebweka kweli mpaka wanatoa maneno ya kejeli kuonyesha jinsi gani wako nyuma ya CCM. Hawakutegemea matokeo wanayoyaona maana walitegemea yawe mazuri wajipendekeze ikala kwao. Ngoma inogile.

Inogile indeed!!
 
Ni sawa na kuuliza makofi polisi.Hata hizi poll zikifanywa na gazeti uhuru au mzalendo Kikwete ataongoza kwa 90%

Usilete utopia - hao Uhuru na Mzalendo basi wafanye na wao watuletee za kwao. Mbona mwaka 2005 walifanya na kutulea kuwa JK alikuwa akiongoza. Mwaka huu 2010 vipi hawanyi hizo kura za maoni?????? Au wamekatazwa na CCM kama wanavyokimbia midahalo.
 
kumbe haya magazeti bado yapo?

bado yapo japo hayasomwi na wananchi, lakini yanabahati sana kwa kupendwa na ofisi zote za serikali maana ndiyo wateja wao wakuu, ila nahisi ccm ikianguka itabidi tuangalie ununuzi wa haya magazeti kama unafuata taratibu za manunuzi za serikali maana naamini yakishindanishwa kwa usawa hayatanunuliwa tena na serikali yetu kama ilivyo sasa, unaenda ofisini unakuta umewekewa uhuru na daily news mezani unalazimika kutoka ukatafute magazeti maana vinginevyo unaweza ukajikuta husomi habari kipindi chote unachotumikia serikali.
 
Kuna mijitu imelewa madaraka na ufisadi na kujiona wao ndio wao, kiasi kwamba kuamini kuwa wakati uko kinyume nao, hawataki kukubali, wao wamekuwa warefu sana kiasi kwamba vichwa vyao vimefika mawinguni na kuacha miili yao na salawili zao chini ya mawingu, hivyo hawaoni ni nini kinajiri chini ya mawingu, kumbe wamekwisha vuliwa salawili zao na wako uchi ila hawajioni, wanahisi baridi lakini wanadhani ni upepo tu umevuma kidogo, kumbe walio huku chini ya mawingu wanawadharau na kuwacheka kwani wako uchi. Watakapo kuja kujigundua ni pale baada ya terehe 31 October, na itakuwa TOO LATE. Nawatakia ndoto njema .
 
Mgombea yupi utampa kura yako ya Urais 2010?

Jakaya Kikwete 7%
Willbrod Slaa 87%
Ibrahim Lipumba 4%
Mutamwega Mugahywa 0%
Hashim Rungwe 0%
Paul Kyara 0%
Christopher Mtikila 0%
Peter Kuga Mziray 1%

Tuchague mtu anayefaa si chama!!!
 
Mnashangaa ninini? atakaye shinda ni Dr. Slaa, uvumi wa utafiti wa redet na taasisi nyingine ni upotoshaji.
GO DR SLAA OUR PRESIDENT!
 
Mpaka sasa hivi siamini data zozote za madudu haya msema kweli twendeni kutengeneza data za ukweli tarehe 31 October 2010. Kwa kumchagua Dr. Slaa. Tuma SMS kwa ndugu na jamaa na marafiki, hakikisha kila mtu anaelewa hili kuwa 2010 HATUDANGANYIKI.
 
wanachadema mnajazba!!! slaa kaongoza gazetini shangilieni.... asilimia zaidi ya 55% ya watanzania wanaishi sehemu za vijijini ambako hawa habari na polls! mkumbe wa nyumba 10 ni ccm, hawajui chama kingine zaidi ya ccm! .. but hongereni slaa kashinda GAZETINI:becky:

mkuu suala sio ushindi gazetini; ni maoni tu yanaonesha hivyo endapo kura zingepigwa leo. mwenye mamlaka ya kutangaza matokeo ya kura na kumtangaza dr ws kama mshindi ni tume ya taifa ya uchaguzi. ni wazi ni wewe ndie mwenye jazba hapa kama utapima vizuri tena.
 
kazi ipo uchakachuaji.........................!jamani hakuna mtanzania anayemtaka kikwete na ccm yake kwa sasa.......ni 1kati ya 10 anaikubali ccm
Kwani hii poll ya Mwanahalisi hiko online au kwenye paper? Kama online Slaa ataongoza tu labda iwe imeandikiwa code ya kuchakachua matokeo. Mbona TSN waliweka poll kama hii na Dr. Slaa kuongoza na baadaye kuiondoa kabisa hata kwenye archive yao!!!!!!!
 
Wanaompigia chapuo JK wameishiwa hoja na sasa wanawayawaya
Slaa atashinda uchaguzi (ukiwa ni huru na haki)
 
kweli kabisa.. kwani kura za karatu ndio zitamfanya aongoze! kwasababu watu wa karatu ni zaidi ya 51% ya watanzania wote! nimekupongeza ndugu! vipi hiyo siku na wewe utakuwepo kupiga kura!! au kura yako ndio ushaipiga on-line kutokea south china:becky:

Nitakuwepo Tanzania wakati wa uchaguzi maana nilijiandikisha kwetu na kura yangu siku hiyo kwa Dr Slaa na jeshi lake. hahahahahahahahaha.
 
Mwanahalisi na Raia Mwema huwa nayaita magazeti ya kimapinduzi na huwa nalipa kwa bill!
Huwezi kuta kada wa CCM kayanunua hayo
 
Hayo ndiyo matokeo. Chama Cha Mafisadi kitake kisitake Dr. Slaa ataandika historia ya kuwa Rais wa kwanza Tanzania kutoka upinzani.
 
Back
Top Bottom