njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 12,368
- 5,512
sikatai vyama vya upinzani ni maarufu sana sehemu za mijini.. kulipo jaa utandawazi wa kila aina, lakini mjue ushindi wa ccm utatoka kule kwenye Mizizi yake Vijijini, kwa wale wazee amabo bado wanamuona nyerere kama mungu!, huku mjini mtaishia kusema mmeibiwa kura mbona mmeongoza katika kura za mitandaoni.. wa tz wapo milion 40, na wote hawakai mijini