Wana Jamii wote na wapenda maendeleo nina wazo moja.Naomba uongozi wa juu wa Jamii forums utoe publically utafit na kura za maoni kama walivyofanya REDET na Synovate.Nadhani hamna kikwazo chochote kukutana na waandishi wa habari na kuyatangaza ili kutoa picha kama uchaguzi ungefanyika leo nani angekua Rais.Nakaribisha maoni kutoka kwa wengine pia.