KURA ZA MAONI: CCM yazidi kupanda chati, CHADEMA ya pili

Sasa chadema ni chama?????????????? au genge la wahuni tu watakao kuvunja amani

CCM is a walking corpse! Ilishakufa ikazikwa kinachotusumbua ni mzimu wake ambao tunatakiwa tuukamate na kuuzika ndani ya bahari yenye kina kirefu ili ufilie mbali

Sasa hivi CDM ndo inatawala nchi indirectly. hili liko wazi halihitaji phD kulitambua.Kinachotusumbua ni mzimu wa ccm unaorandaranda baada ya chama kufa na mzoga wake kutupwa baharini kama mzoga wa OSAMA

Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili.

Hata hivyo kwa upande wa wanasiasa mmoja mmoja, imeonekana kuwa Rais Kikwete anaongoza maeneo ya vijijini, wakati Mh. Zitto Kabwe na Mh. Halima Mdee wanakubalika sana maeneo ya mijini, haswa haswa miongoni mwa kada ya vijana bila kujali itikadi za vyama vyao vya siasa.

Waziri Mkuu Pinda 'mtoto wa mkulima' ameporomoka kwa asilimia kumi na mbili (12%), na kupishana kwa karibu sana na Mh. Magufuli.

Miongoni mwa wabunge, aliyeongoza ni Mh. Pindi Chana, akifuatiwa kwa karibu na waheshimiwa Anne Kilango wa CCM, na Kafulila wa NCCR-Mageuzi.

Source: Tanzania Rainbow Syndicate (TRS).

kila siku ccm inapanda eti eeh..imepanda na sasa imefikia apex yake, imevuka shina ,tawi inaelekea kwenye majani, kifuatacho unajua ni nini...KUDONDOKA GHAFLA KAMA EMBE BOVU.!

Chadema ni wanaharakati na si chama cha siasa. Inabidi kifutwe wasajiliwe km NGOs. Si unaona sasa madhara yake haya ![Kuna aina nyingi za magonjwa..Non communicable disease na communicable disease...Sasa kwa upuuzi huu ni communicable disease na ni mbaya sana kwa chanjo yake ni ngumu kwani inabidi ianza ndani ya mavazi ya kijani ndiyo haya masalia yasiyojua nini kinachowatafuna watakapogeuka nia...p a m b f]

Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili.

Hata hivyo kwa upande wa wanasiasa mmoja mmoja, imeonekana kuwa Rais Kikwete anaongoza maeneo ya vijijini, wakati Mh. Zitto Kabwe na Mh. Halima Mdee wanakubalika sana maeneo ya mijini, haswa haswa miongoni mwa kada ya vijana bila kujali itikadi za vyama vyao vya siasa.

Waziri Mkuu Pinda 'mtoto wa mkulima' ameporomoka kwa asilimia kumi na mbili (12%), na kupishana kwa karibu sana na Mh. Magufuli.

Miongoni mwa wabunge, aliyeongoza ni Mh. Pindi Chana, akifuatiwa kwa karibu na waheshimiwa Anne Kilango wa CCM, na Kafulila wa NCCR-Mageuzi.

Source: Tanzania Rainbow Syndicate (TRS).
Join Date : 9th August 2011; Posts : 46; Rep Power : 0 UMEANZA VIBAYA NENDA KARUDIE SOMO KUHUSU KUFANIKISHA LENGO. HAPA UKO MBALI SANA NA LENGO LAKO

Unakaa nchi gani ww ? umeme mgawo umeisha labda nyumbani kwenu luku imeisha au hamjalipi bili ya Tanesco. Nendeni mkalipe mtapata umeme hakuna kitu cha bure dunia hii hivi sasa

kwenu ndo hamna mgao magamba upupu huo

Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili.

Hata hivyo kwa upande wa wanasiasa mmoja mmoja, imeonekana kuwa Rais Kikwete anaongoza maeneo ya vijijini, wakati Mh. Zitto Kabwe na Mh. Halima Mdee wanakubalika sana maeneo ya mijini, haswa haswa miongoni mwa kada ya vijana bila kujali itikadi za vyama vyao vya siasa.

Waziri Mkuu Pinda 'mtoto wa mkulima' ameporomoka kwa asilimia kumi na mbili (12%), na kupishana kwa karibu sana na Mh. Magufuli.

Miongoni mwa wabunge, aliyeongoza ni Mh. Pindi Chana, akifuatiwa kwa karibu na waheshimiwa Anne Kilango wa CCM, na Kafulila wa NCCR-Mageuzi.

Source: Tanzania Rainbow Syndicate (TRS).
Last edited by President Elect; Today at 09:39 AM.​

suala la pinda lina takwimu mengineyo yote hayana takwimu...................what do you think??????????????????????hivi unataka tuamini umbea huu........siamini zitto kabwe a mdee are a political force......................or jk for that matter.................................naona uko katika mlengo wa kuitukuza dini fulani lakini siyo kutupasha habari..............

Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili.

Hata hivyo kwa upande wa wanasiasa mmoja mmoja, imeonekana kuwa Rais Kikwete anaongoza maeneo ya vijijini, wakati Mh. Zitto Kabwe na Mh. Halima Mdee wanakubalika sana maeneo ya mijini, haswa haswa miongoni mwa kada ya vijana bila kujali itikadi za vyama vyao vya siasa.

Waziri Mkuu Pinda 'mtoto wa mkulima' ameporomoka kwa asilimia kumi na mbili (12%), na kupishana kwa karibu sana na Mh. Magufuli.

Miongoni mwa wabunge, aliyeongoza ni Mh. Pindi Chana, akifuatiwa kwa karibu na waheshimiwa Anne Kilango wa CCM, na Kafulila wa NCCR-Mageuzi.

Source: Tanzania Rainbow Syndicate (TRS).

best pumba of the week

This TRS must be a kindergaten school, tena ya kata, manake huu ni uchuro kabsaaaaaaaa..NONSENSE

Nyie wana magaamba acheni kukopi na kupaste. Huyo pindi chana amefanya nini mpaka eti maarufu wake upande? Huku ludewa amekazana kugawa vitenge tayari kwa maandalizi ya uchaguzi 2015. Anatudhalilisha. Majibu yake atayapata hiyo 2015 kama kweli umaarufu wake unapanda au la. Pindi chana mpaka leo ameshindwa kuuendesha mdahalo wa katiba mpya. Kule bungeni nako nako mambo yanamshinda amekabwa koo na Filikunjombe. Mara ya mwisho alileta mahindi Ludewa kama sehemu ya kampeni wananchi wameyakataa na majibu yake atayapata. Ndoa yake tu imemshinda, au ndo .....

kila siku ccm inapanda eti eeh..imepanda na sasa imefikia apex yake, imevuka shina ,tawi inaelekea kwenye majani, kifuatacho unajua ni nini...KUDONDOKA GHAFLA KAMA EMBE BOVU.!

Nimependa sana akili zako mkuu!
CDM haiwapi usingizi hawa jamaa wa magamba.

Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili.

Hata hivyo kwa upande wa wanasiasa mmoja mmoja, imeonekana kuwa Rais Kikwete anaongoza maeneo ya vijijini, wakati Mh. Zitto Kabwe na Mh. Halima Mdee wanakubalika sana maeneo ya mijini, haswa haswa miongoni mwa kada ya vijana bila kujali itikadi za vyama vyao vya siasa.

Waziri Mkuu Pinda 'mtoto wa mkulima' ameporomoka kwa asilimia kumi na mbili (12%), na kupishana kwa karibu sana na Mh. Magufuli.

Miongoni mwa wabunge, aliyeongoza ni Mh. Pindi Chana, akifuatiwa kwa karibu na waheshimiwa Anne Kilango wa CCM, na Kafulila wa NCCR-Mageuzi.

Source: Tanzania Rainbow Syndicate (TRS).

huo utafiti ulifanyika baa gani? Pombe jamani!!

Unakaa nchi gani ww ? umeme mgawo umeisha labda nyumbani kwenu luku imeisha au hamjalipi bili ya Tanesco. Nendeni mkalipe mtapata umeme hakuna kitu cha bure dunia hii hivi sasa
Umeme sasa unakatika masaa 24 halafu unakuja kwa masaa 6 sijui wewe uko pande ipi ya nchi hii.. labda unaishi mtera au wapi tena vile..?

Chadema ni wanaharakati na si chama cha siasa. Inabidi kifutwe wasajiliwe km NGOs. Si unaona sasa madhara yake haya !
Hujaeleweka mwanaharakati kumetokea madhara gani tena yaliyosababishwa na CDM? au kukosekana umeme nini? au mafuta kupanda bei au nini vile tena....?

haikustahili post hii kuruhusiwa hapa kwani wote huo ni wongo uleule wa synovate!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili.

Hata hivyo kwa upande wa wanasiasa mmoja mmoja, imeonekana kuwa Rais Kikwete anaongoza maeneo ya vijijini, wakati Mh. Zitto Kabwe na Mh. Halima Mdee wanakubalika sana maeneo ya mijini, haswa haswa miongoni mwa kada ya vijana bila kujali itikadi za vyama vyao vya siasa.

Waziri Mkuu Pinda 'mtoto wa mkulima' ameporomoka kwa asilimia kumi na mbili (12%), na kupishana kwa karibu sana na Mh. Magufuli.

Miongoni mwa wabunge, aliyeongoza ni Mh. Pindi Chana, akifuatiwa kwa karibu na waheshimiwa Anne Kilango wa CCM, na Kafulila wa NCCR-Mageuzi.

Source: Tanzania Rainbow Syndicate (TRS).

WHO SENT YOU???

Back
Top Bottom