KURA ZA MAONI: CCM yazidi kupanda chati, CHADEMA ya pili

Hiyo kura ya maoni siwezi kuikubali CDM hawezi kuwa ya pili, CDM umaarufu wao umeshuka sana baada ya watu kutambua ni chama cha wahuni.
Saizi wanazidiwa ata ni TPP MAENDELEO

Ipeleke jukwaa la jokes

Tanzania ina watu wawili matajiri (mafisadi) na masikini (raia)

Unakaa nchi gani ww ? umeme mgawo umeisha labda nyumbani kwenu luku imeisha au hamjalipi bili ya Tanesco. Nendeni mkalipe mtapata umeme hakuna kitu cha bure dunia hii hivi sasa
Taarifa: Hapa nilipo bugando mwanza kuna mgawo hivi sasa umeme umekatika na hospitali ya bmc wamewasha jenereta ili walau taa ziwake. We si mtanzani hata jina lako laonesha.

anaongea opposite ndio maana slaa hayumo kwenye league

Unakaa nchi gani ww ? umeme mgawo umeisha labda nyumbani kwenu luku imeisha au hamjalipi bili ya Tanesco. Nendeni mkalipe mtapata umeme hakuna kitu cha bure dunia hii hivi sasa

mgao wa umeme umeisha? labda kwa nyie mafisadi.

labda mgao umeisha kwenye M***DU Wako mpuuzi wewe umetumwa na magamba nini watu hatuna umeme siku nzima halaFu unaleta U**Ma wako unatia hadi hasira wewe shit HADI NIMETAMANI NIKUPIGE MTI JINSI ULIVO NTIA HASIRA

Ndio wale wale mchicha mwiba, watu wa shakula shakula, na tunaowala km tunavyokula haluwa na gahwa yakhe ! Karibu karibu shakula yangu weyye yakhe !

Nahisi kama huu ni upuuzi wa hali ya juu
Je Mkandala hayuko huo?
Utasikia soon mkurugenzi wake kapewa shavu tu na ******

Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili.

Hata hivyo kwa upande wa wanasiasa mmoja mmoja, imeonekana kuwa Rais Kikwete anaongoza maeneo ya vijijini, wakati Mh. Zitto Kabwe na Mh. Halima Mdee wanakubalika sana maeneo ya mijini, haswa haswa miongoni mwa kada ya vijana bila kujali itikadi za vyama vyao vya siasa.

Waziri Mkuu Pinda 'mtoto wa mkulima' ameporomoka kwa asilimia kumi na mbili (12%), na kupishana kwa karibu sana na Mh. Magufuli.

Miongoni mwa wabunge, aliyeongoza ni Mh. Pindi Chana, akifuatiwa kwa karibu na waheshimiwa Anne Kilango wa CCM, na Kafulila wa NCCR-Mageuzi.

Source: Tanzania Rainbow Syndicate (TRS).

huu ni upuuzi mtupu, naimani hata wanakijiji waliomchagua jk wanajilaani sn kwa kumpa mbayuwayu kura mana maisha ya watanzania kila kukicha heri ya jana

Unakaa nchi gani ww ? umeme mgawo umeisha labda nyumbani kwenu luku imeisha au hamjalipi bili ya Tanesco. Nendeni mkalipe mtapata umeme hakuna kitu cha bure dunia hii hivi sasa
Sheikh Yahya alishawahi kutabiri kwamba mambo yakiwa magumu kuna baadhi ya watu wataanza kuropoka mambo ya hatari huku wakijiamini. Mgao umeisha??

Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili.

Hata hivyo kwa upande wa wanasiasa mmoja mmoja, imeonekana kuwa Rais Kikwete anaongoza maeneo ya vijijini, wakati Mh. Zitto Kabwe na Mh. Halima Mdee wanakubalika sana maeneo ya mijini, haswa haswa miongoni mwa kada ya vijana bila kujali itikadi za vyama vyao vya siasa.

Waziri Mkuu Pinda 'mtoto wa mkulima' ameporomoka kwa asilimia kumi na mbili (12%), na kupishana kwa karibu sana na Mh. Magufuli.

Miongoni mwa wabunge, aliyeongoza ni Mh. Pindi Chana, akifuatiwa kwa karibu na waheshimiwa Anne Kilango wa CCM, na Kafulila wa NCCR-Mageuzi.

Source: Tanzania Rainbow Syndicate (TRS).
So what?? This is not important at all

Naona umerithi mikoba ya shehe Yahaya, jitahidi utafanikiwa...

Kikwete vs Zito/Mdee.
They cant afford to rate JK on Slaa PhD scale.
JK vs Slaa = Mtibwa (JK) vs Barca
Hilo wamelitambua, walau katika jitihada za kukweza fisadi lao JK.

hii ni comperative analysis ya ukweli na sio huo upuuzi wa mwenye thread

Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili.

Hata hivyo kwa upande wa wanasiasa mmoja mmoja, imeonekana kuwa Rais Kikwete anaongoza maeneo ya vijijini, wakati Mh. Zitto Kabwe na Mh. Halima Mdee wanakubalika sana maeneo ya mijini, haswa haswa miongoni mwa kada ya vijana bila kujali itikadi za vyama vyao vya siasa.

Waziri Mkuu Pinda 'mtoto wa mkulima' ameporomoka kwa asilimia kumi na mbili (12%), na kupishana kwa karibu sana na Mh. Magufuli.

Miongoni mwa wabunge, aliyeongoza ni Mh. Pindi Chana, akifuatiwa kwa karibu na waheshimiwa Anne Kilango wa CCM, na Kafulila wa NCCR-Mageuzi.

Source: Tanzania Rainbow Syndicate (TRS).
Hao waliofanya kura ya maoni ni akina nani? Unachekesha ukisema CCM inazidi kupanda!

Back
Top Bottom