Kura za maoni CCM EAC

Enderea hivyo hivyo kutuabalisha kila kitu kinachoendelea
 
Hili lakuwa na wagombea zaidi ya 40 wakati nafasi zenye ni 8 i can smell something PCCB Plz Get prepared.

Mytake: Wagombea wengi hapo ni dizani ya kina komba na wassira tu.
Lets us be seriuos hapa ndipo wakenya wanapotupiga bao....sisi tunapeleka watu kwa kujuana na Mlungula instead ya kuangalia uwezo wa mtu katika issues relating to international trade,Negotiation skills,Policy etc......kuna watu kwasababu wanapesa za kuonga wajumbe basi wameshageuza ubunge kama fashion.
 
Acha kutudanganya wewe, Malecela sio mbunge atakuwa ndani anafanya nini? Hana kura ya kupiga pengine mkewe Anna Kilango!!

labda huelewi mkuu

mzee malecela alipewa nafasi ya kudumu ya heshima,kwa hiyo yumo
 
.... I can't imagine huyu dogo eti anataka kwenda kuwa mbunge wa EA !! Yaani ni sawa na Lusinde kutaka kuwa PM...
 
labda huelewi mkuu

mzee malecela alipewa nafasi ya kudumu ya heshima,kwa hiyo yumo

Hakuna nafasi ya kudumu katika Bunge. Labda kwenye chama ambako nako wazee wamepewa nafasi nyingine. Malecela alikuwa mbunge wa Mtera na watu humu wakafurahia aliposhindwa na Liv Lusinde kuwa mbunge na kumuangusha mzee wa watu. Watu rahisi sana kusahau, sasa munaona matunda yake anavurumisha matusi hadi kuwaponza waliomuingiza bungeni (CCM)....

Ila naamini Mwikimbi alikua na maana Anne Kilango Malecela na kwa kweli anampenda sana William na wako karibu kama mwanae wa kumzaa. Najua Anne Kilango atampigania sana William. Tunamuombea kila la kheri, tunawaombea na wapambanaji wa ukweli kina Mrisho Gambo na Shyrose Bhanji.... najua CCM wanahitaji watu wa aina hiyo, kizazi cha mabadiliko si vijana wa kujipendekeza bila hoja ili kuweza kuhimili wimbi la sasa.
 
Ila naamini Mwikimbi alikua na maana Anne Kilango Malecela na kwa kweli anampenda sana William na wako karibu kama mwanae wa kumzaa. Najua Anne Kilango atampigania sana William. Tunamuombea kila la kheri, tunawaombea na wapambanaji wa ukweli kina Mrisho Gambo na Shyrose Bhanji.... najua CCM wanahitaji watu wa aina hiyo, kizazi cha mabadiliko si vijana wa kujipendekeza bila hoja ili kuweza kuhimili wimbi la sasa.

EL .... sijui!

I hope uchaguzi huu hautakuwa kama ule wa wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge ambapo EL alionekana ku-dominate na ndio maana tukaishia kupata viongozi walamba miguu kama akina Serukamba na Mama Shelukindo ambaye aliweka wazi kwamba alianikiwa kwa nguvu ya EL.
 
hizi nafasi ni sawa hawa wabunge wanaripoti kwa nani au ubunge wa afrika mashariki unageuka kuwa lockup ya wale wenye vihere here .kenya wamejipanga wanaripoti kwa rais na maagizo yao yanatekelezwa hapa kwetu hali ikoje wakishaingia hwasikiki tena hadi muda wao uishe ndo utajua kumbe fulani yupo .
 
kuna huyu mama aNGELA KIZIGHA, HUYU ALIOGOMBEA UBUNGE WA KAWE DADA HALIMA AKAMSHINDA, UKWELI NI KUWA NI FORM FOUR FAILURE, SASA NASIKIA YUMO KWENYE HIZO MBIO. 2010 ALITUMIA 300M KUTEULIWA NA CCM, ANA LINK KUBWA NA JESHI LLA POLISI, HASA MUUZAJI ZOMBE NA INASEMEKANA ALITENGEZA CHAPAAA YA KUELEWEKA KUPITIA MTU HUYU. SINTASHANGAA HUYU KUSIKIA KUPITIA CHAPAA AMBAYONDO LULU AU SABUNI YA CCM ANAWAKILISHA TANZANIA. AKINA MNYIKA KUWENI MACHO, AKIJA HUKO BUNGENI AJIBU MASWALI KWA ENGLISH HATUTAKI AIBU ZINGINE
 
Back
Top Bottom