Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

Wacha woga Ritz hiyo si kweli ila dogo Nasri anapiga jalamba, mtu akipiga jalamba coach ndiye anachagua mchezaji wa kuingia uwanjani!!!! Tarehe 1/3/2012 CDM watachagua mgombea wa ARUMERU!!!! Ila kwenye mchakato Joshua Nasari yumo pia, naona unatetemeka au vipi????

Mkuu, ebu wasome Chadema mwenzako Feedback, Molemo, wanakuambia wagombea wa CCM wanapambana lakini watakuwa nyuma ya Nassari.
 
hiypo ni katoba ya kikwete sio katiba akuna kitu kama hicho ccm
shame on them loh
 
Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.

Demokrasia CCM ni safu sana.

Source: Nape kupitia Clouds FM

Mafilili mbona hueleweki sasa! Unamaanisha demokrasia ya Chama Cha Mafisadi (CCM) ni safi au ni chafu, maana umeandika SAFU sana. Au hilo ni neno geni mkubwa umetohoa!
 
Mkuu, ebu wasome Chadema mwenzako Feedback, Molemo, wanakuambia wagombea wa CCM wanapambana lakini watakuwa nyuma ya Nassari.
Mbona unamwogopa sana Nassari anatisha kama Messi eee, Ronaldo akisikia Messi yupo siku hiyo anaugua.

Tulieni nyie endeleeni tu kumnyanyasa mtoto wa marehemu muone laana yake itakavyo watafuna, kwanza Naibu Katibu mwenezi Tendwa ameshalikoroga kwa washili sijui mtawaambia nini maana mlikuwa wa kwanza kushabikia sasa inawatokea puani.
 
mkuu mkandara,

sijakuona kitambo mzee wangu. Unachosema ni kweli kwa 100%. Ila umechanganya majina, kijana huyo anaitwa sioi sumari. Naona umeunganisha majina ya wagombea 2 kutoka vyama tofauti.

Kosa la kijana [sioi] ni kuwa mtoto wa marehemu mzee sumari, halafu kuwa mkwe wa el na kibaya kuliko yote james ole millya kujiingiza kwenye siasa za arumeru ambako kumemchafulia huyo sioi. Hata kama sioi angekuwa na sifa za kugombea, kitendo cha kuwa karibu na lowassa na kuwatumia wapambe wa lowassa kwenye vuguvugu za kampeni kunanzisha mgogoro upya kabisa kati ya mary chatanda vs james ole millya.

Kijana ana bahati mbaya sana, maana anaweza kuhukumiwa kwa makosa ambayo sio yake hata kama alikuwa na sifa zote za kuteuliwa kuwa mgombea.

mkuu niko nyuma asilimia -100 kwa kuwa huyu jamaa nilijua atshinda ila nilipoona wale mashetani wakina mallya nlimwambia wazi hata nape kama mnataka kuharibu uchaguzi wa arumeru pitisheni huyo mtu muone na nimesoma hili nikacheka sana ...na watakapoenda kuaribu zaidi watamchagua sarakikya ambae kwa chadema itakuwa ni kutuma tu ndege za kivita bila rubani huyu wala chdm awataitaji kufanya kampeni anyway nawasubiria maana wakina sumari wako radhi ukoo mzima kuipigia chadema wakiwa na marafiki zao so angalia lile jimbo litakavyotekwa kiakili na chadi;s
 
Katiba ya CCM inatamka hivyo. Ndio maana hata uchaguzi wa rais 1995 walirudia kati ya Mkapa na JK.

Nafikiri kilichowachanganya ni kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 walitoa waraka ambao uliruhusu washindi kupatikana kwa simple majority. Tatizo lilikuwa kwamba uchaguzi huo wanachama wote walipiga kura. Ingelikuwa ngumu na gharama kuandaa uchaguzi mwingine.

Kwenye changuzi ndogo, unatumika utaratibu ule ule kama wa zamani wa kutumia mkutano mkuu wa wilaya hivyo ingetakiwa mshindi apate zaidi ya nusu ya kura.

Nafikiri msimamizi alichemsha kwa kuamua kutumia taratibu zilizotumika kwenye mchujo wa CCM 2010.

Mkuu Mtanzania why such serious overlooking!!!! Lakini pia jana wakati akihojiwa kwenye Tv, Nape alisikika akisema ushindi wa 50% si lazima ndani ya CCM au...!!!!!
 
Heee heee jamani nisaidieni hivi huyu jamaa alierudishwa ugaibuni akavae viatu ndio ameoa pamella lowassa kama ndie lohhh kazi anayo
 
Mkuu, ebu wasome Chadema mwenzako Feedback, Molemo, wanakuambia wagombea wa CCM wanapambana lakini watakuwa nyuma ya Nassari.
Hizo si ni mbwembwe tu bwana hayo ni matambo lakini uchaguzi wa kura za maoni bado, ngoja hiyo siku utapata jibu sahihi!!!! Don't panic!!!!!!
 
CCM kwa kujifariji na matukio ya zamani....tunaongelea kitendo mnachotaka kumfanyia mtoto wa marehemu si kizuri hata washili hawatafurahi.
Lakini Paulss kaongea ukweli mkuu......CHADEMA hamkutumia Demokrasia kuwapata mgombea Urais na wale wa Viti maalum....

Halafu....Ni kwa nini Nassari anaendesha harambee na kukusanya 10 ml Tshs ilhali hajapitishwa kuwa mgombea ubunge?.....
 
kwa kuwa lengo la kina nape na genge lake ni kumuondoa sioi...wakirudia sioi atapeta kirahisi sana kumzidi mbali huyo sarakikya....kisha Nasari anachukua jimbo kirahis.....lowasa alishajua mpango wa kina nape zamani sana
 
yote hii eti kurudia lengo ni kumtoa sioi...full stop
Huitajiki kuwa na Degree ili ufahamu kwamba hili jimbo tayari limekwenda CHADEMA. CCM itaingia kwenye uchaguzi ikiwa vipande vipande, nawashauri viongozi wa CHADEMA kama wanaisoma thread hii wasitangaze mgombea wao mpaka Magamba watangaze mgombea wao, kuna kazungurukee hapa inataka kufanyika.
 
kwa kuwa lengo la kina nape na genge lake ni kumuondoa sioi...wakirudia sioi atapeta kirahisi sana kumzidi mbali huyo sarakikya....kisha Nasari anachukua jimbo kirahis.....lowasa alishajua mpango wa kina nape zamani sana
Edson......Kwani CHADEMA wameshampitisha Nassari?...
 
Naona unampenda Nape kila post yako lazima umtaje..

Kwa hiyo Chadema wameishapitisha jina Mgombea Arumeru? Jibu basi acha kuzunguka.

Angalia mlivyokuwa na wasiwasi povu linakutoka kufuatilia taratibu za CCM..ha haa!haaa! Chadema bana.

wewe kinachokuliza ni nini?...muone ulivyopauka!!!! wacha uongo...lema hajachanga chochote....kaoge wewe wacha kuvuta vuta kamasi hapa
 
mkuu niko nyuma asilimia -100 kwa kuwa huyu jamaa nilijua atshinda ila nilipoona wale mashetani wakina mallya nlimwambia wazi hata nape kama mnataka kuharibu uchaguzi wa arumeru pitisheni huyo mtu muone na nimesoma hili nikacheka sana ...na watakapoenda kuaribu zaidi watamchagua sarakikya ambae kwa chadema itakuwa ni kutuma tu ndege za kivita bila rubani huyu wala chdm awataitaji kufanya kampeni anyway nawasubiria maana wakina sumari wako radhi ukoo mzima kuipigia chadema wakiwa na marafiki zao so angalia lile jimbo litakavyotekwa kiakili na chadi;s
Nitarudia kusema haya... CCM wakitaka kushindwa watashindwa lakini wakilitaka jimbo la Arumeru watalichukua na hakuna wa kumzuia....Hizi porojo zetu sisi wote hapa ni matumaini HOPE ambayo inategemea na CCM wanataka nini, lakini bado kabisa wananchi hawana nguvu ya maamuzi...Mtanisamehe ila ndio ukweli unaouma sana.
 
Lakini Paulss kaongea ukweli mkuu......CHADEMA hamkutumia Demokrasia kuwapata mgombea Urais na wale wa Viti maalum....

Halafu....Ni kwa nini Nassari anaendesha harambee na kukusanya 10 ml Tshs ilhali hajapitishwa kuwa mgombea ubunge?.....
Balantanda..that was then this is now, talk on the present issues.

Which is better, kuchangiwa na wapiga kura wako (CDM) au kuwahonga wapiga kura (CCM)?
 
Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.

Demokrasia CCM ni safu sana.

Source: Nape kupitia Clouds FM

Mkuu is this news kwa Nchi hii masikini iliyo na inayo liwa na CCM ?
 
Back
Top Bottom