Elections 2010 Kura za JK katika JF zaongezeka ghafla!

Status
Not open for further replies.
Una tabia za Mwafrika wa Kike.

umegundua hilo leo, asante mama kwa kunikumbusha maana nilikuwa nimesahau kuwa nina hizo tabia za kike. Swali kwako, je wewe umeachana na tabia za Ama wa kiume?
 
Lets judge these people rationally. Kura za Dr.Slaa zilipanda haraka sana mara baada ya polls hizi kuanza na baadae zimekuwa steady!. My take an organized group of people spearheaded the move probably using multiple IDs and when they cant register no more or less than before their counterparts works up na wao huenda ndo wameanza kupiga kura mtandaoni. To me online polls are not a true representation of popularity.
 
Lets judge these people rationally. Kura za Dr.Slaa zilipanda haraka sana mara baada ya polls hizi kuanza na baadae zimekuwa steady!. My take an organized group of people spearheaded the move probably using multiple IDs and when they cant register no more or less than before their counterparts works up na wao huenda ndo wameanza kupiga kura mtandaoni. To me online polls are not a true representation of popularity.

huu ni uongo na hata wewe unajua hili.
kura za Slaa zilikuwa zikiongezeka accordingly, zimekuwa steady kwa vile wale wenye kupiga wengi wao wameshapiga. Kura zinazoongezeka kwa mkupuo ni za Kikwete.

Alipata kura mia tano weekend, na jana kapata kura 250 ndani ya masaa machache.
 
Uvamizi unaonekana kuendelea katika JF baada ya kura kuongezeka kutoka 1,556 hapo jana saa 11 jioni (1700) hadi kufikia 1,777 leo saa nane dakika 32 (14:32 hrs). This is a tremendous efforts has baada ya kuzomewa huko katika kampeni zake.

... punguza ulalamishi Slaa bado anongoza. Mwisho mtawasingizia Mods wa JF kwa uchakachuaji!
 
za slaa haziongezeki kwa mkupuo kama wa kura za kikwete.

Kikwete alipata kura mia tano ndani ya siku moja, kisha jana akapata kura 250 ndani ya masaa machache tu. Online polls haziendi hivi.

Huoni wanaojisajili humu sasa wameongezeka kuja kufanya kazi yao. Baada ya uchaguzi hutawaona tena.

Tunaombe Mod atupe data za wanachama wapa hasa baada ya Silaa kutangaza kugombea. Nafikiri inawezekana zaidi ya 1000 ni wapya!!
 
Hakuna member wapy walio jiunga leo, ni mmoja tu ndiye amejiunga"Welcome to our newest member, isystems" hizo kura zinachakachuliwa na Viongozi waJF
 
Mwafrika,
Mkuu hakuna sababu ya kulalamika kwani members JF ni zaidi ya elfu 22 na waliopiga kura ni watu elfu 8 tu. Hivyo kama kura za JK zinaongezeka ina maana Dr.Slaa anazembea sehemu fulani kuwavuta zaidi wananchi ambao kwetu sisi swala kubwa ni UCHUMI, lakini hadi sasa vyama vingi vinazungumzia zaidi Huduma za wananchi (Social services) baada ya kupewa madaraka... Hivyo yawezekana kabisa kwamba Dr.Slaa anakosea mahala hasa anapokuwa akijihami na kejeli za CCM badala ya kuendeleza somo la Utawala bora na kukuza uchumi wetu, vitu ambavyo ndivyo udhaifu mkubwa wa JK na chama CCM...

Ni wakati wa Dr.Slaa kuznugmzia Uchumi na kuendeleza vita juu ya Ufisadi na jinsi unavyoharibu maendeleo na pato la Taifa. Na kikubwa zaidi azungumzie policy zake ambazo zitaongeza Ufanisi ktk sekta zote za uzalishaji hasa akigusia AJIRA..

Tukumbuke tu kwamba Wapiga kura nchini ni watu waliozidi Umri wa miaka 18 ambao hawana kazi, elimu wala sifa za kupata ajira ktk sekta kubwa ya services inayokuwa haraka. Hawa ni maskini na hawawezi kusubiri wala kufikiria zaidi elimu ya watoto wao wenyewe hali maiisha yao ni duni hapo walipo. Hivyo hawapati hotuba ya kuwahakikishia ajira na maisha bora..

Taifa limekwama ktk tope, maisha yao pia yamesimama hviyo haijalishi ukiwapa ahadi za baadaye ikiwa leo hii hawaoni tumaini la kutoka hapo walipo..Kwanza, tutaweza vipi kutoka hapa tulipokwama na uhakika wa safari ambayo itawahakikishia ajira.
 
Uvamizi unaonekana kuendelea katika JF baada ya kura kuongezeka kutoka 1,556 hapo jana saa 11 jioni (1700) hadi kufikia 1,777 leo saa nane dakika 32 (14:32 hrs). This is a tremendous efforts has baada ya kuzomewa huko katika kampeni zake.

Hawezi kuongoza kura hapa JF.
 
5.JPG

huyu naye alipiga hiyo kura, hahaaah.
 
WIP=Work in progress!
watu wako kazini kaka!
watu wametumwa kazini waharibu!
 
Saa we inakuuma nini? kwani umeambiwa JF ni ya chadema tu? kwani huji humu ndani watu wapo tu kuleta mijadala basi? wana identity hata nne mtu mmoja na kila identity ana kubali chama fulani? mifano ninayo mingi tu lakini nafuata sheria za humu sintataja.ila la humu hizi kura za humu au kura za watu wachache au kuhojiwa kwa watu wachache na kukubali kumkubali Jk au Slaa si jibu la mwisho kuwa Jk au Slaa wameshinda uchaguzi. si sahihi kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom