Kwa hiyo ulitakeje?Unataka kutueleza kila anaye ingia JF ni mpenzi Slaa?Au asilimia kubwa ya wanachama wa JF ni Chadema?
Hapo ndipo watanzania wenzangu mnaponichosha, sasa kama unaona wenzio wanatumia strategy fulani kufanikiwa si wewe unajaribu the same ili muwe level au?? obviously itakuwa wao wame-mobilize wafuasi wao wajisajili na kuipigia kura CCM, kwa maana si kwamba kila mwananchi ni member wa JF - wapo wengine wengi ambao si members, sasa ukifanikiwa kuweza kuwashawishi watu wajiunge na kupiga kura - dont u think kama hiyo inaweza kuchangia kuongezeka kwa kura??
Cha muhimu ni CHADEMA pia kujitahidi kuwahamasisha watu wajisajili na kuwapigia kura - then automatically mtaona jinsi idadi inavyozidi kuongezeka au siyo?
hawataweza kitu kwa sababu polls zipo nyingi na kuzichezea hizo zote siyo rahisi hata kidogo.
Hata synovate wako njiani kumjulisha jk kuwa the game is over...................
Wale wale!
Uvamizi unaonekana kuendelea katika JF baada ya kura kuongezeka kutoka 1,556 hapo jana saa 11 jioni (1700) hadi kufikia 1,777 leo saa nane dakika 32 (14:32 hrs). This is a tremendous efforts has baada ya kuzomewa huko katika kampeni zake.
Kwa hiyo ulitakeje?Unataka kutueleza kila anaye ingia JF ni mpenzi Slaa?Au asilimia kubwa ya wanachama wa JF ni Chadema?
mbona zikiongezeka za slaa huongei!
Haongelei za Slaa kama vile ambavyo huongelei za Kikwete.
mbona zikiongezeka za slaa huongei!
za slaa haziongezeki kwa mkupuo kama wa kura za kikwete.
Kikwete alipata kura mia tano ndani ya siku moja, kisha jana akapata kura 250 ndani ya masaa machache tu. Online polls haziendi hivi.
haha sijawahi kuongelea za kikwete wala za slaa!.. nafkiri bado anahitaji elimu ya domokrasia.. kwamba pale juu ni mtu anauhuru wa kuchaguwa yoyote na haina haja ya ku complain kwa nini za fulani zinaongezeka
Asante sana kwa mtazamo huu, tuko pamoja sana kwenye hili.
Ukweli ni kwamba ushindi kwa upinzani is just an illusion.
Wasted :llama: