Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

Haya mama, mpe tuisheni ya kuachika! Inaelekea ile tuisheni ya nyumba ndogo haikumkaa kumkichwa. Kanogewa na nyumba ndogo sasa anataka kuachika! What a WHAT? Mi namshauri amwombe Mume wake amle tiGO. Kama mume wake si muumini, ataachika kirahisi. Kama ni muumini aje tena hapa atuombe ushauri mwingine, kwa sababu atakuwa pale to STAY!

Mchumba bana,Kwa nini usimshauri akate shauri ampokee Bwana Yesu,si umeona ameuliza msaada?
 
Hahaha! Kuna wengine ni kupoteza muda tu. Hata YESU mwenyewe akiwaita hawataenda.
Yesu anawapenda wale walioshindikana na waliokata tamaa kama mrs Mtaba.
Si ndio maana aliambiwa rafiki wa walevi na makahaba? unamkumbuka Maria magdalena? alikuwa changudoa lakini Yesu alikuwa rafiki yake.Hivyo kwa Yesu saizi yake ,hana haja na mitume na manabii bali anawataka watu kama hawa wanaokesha ZIRO pub.Mchumba upo shalow kumbe? hukusoma divinity?
 
Jamaa atakuwa hajui mapenzi, ndio maana amechokwa mapema. Hamna kitu kingine ndoa bado mbichi sana, watu wanakaa forty years hawachokani
 
Yesu anawapenda wale walioshindikana na waliokata tamaa kama mrs Mtaba.
Si ndio maana aliambiwa rafiki wa walevi na makahaba? unamkumbuka Maria magdalena? alikuwa changudoa lakini Yesu alikuwa rafiki yake.Hivyo kwa Yesu saizi yake ,hana haja na mitume na manabii bali anawataka watu kama hawa wanaokesha ZIRO pub.Mchumba upo shalow kumbe? hukusoma divinity?

Hahaha! Wakati huo huo tukiwasalimu BWANA ASIFIWE hamuitiki kwa kuwa sisi ni watu wa MATAIFA? Kuna majitu mengine hata YESU mwenyewe alinawa mikono. Hukumbuki kuna limoja lilisulubiwa pamoja naye msalabani lakini bado likakomaa? Kama watu wa namna hiyo anawapenda mbona haku-deal na hilo aende nalo mbinguni? Divinity ni Vocabulary kwenye kichwa changu, japokuwa nililamba ka A kazuri kwenye National Exams.
 
Yan uzuri wa Yesu hata kama wewe humpendi yeye anakupenda tu kiasi kwamba hakulazimishi kama hutaki kumpenda.Ni upendo umezidi kupitiliza.
Yani wewe ulipata A divinity? unafana na Yule Tajiri kijana aliyejua aliyeulizwa amri za Mungu na Yesu na akajifanya kipanga eti hizo toka utoto wangu najua.Lakini alipoambiwa auze vyote amfuate Yesu akashindwa.Hebu Jiulize na wewe,Una kitu gani hutaki kuuza?
Sina shaka na mrs Mtaba,mpaka anatafuta ushauri maana yek yupo tayari kuuza alivyo navyo.
 
Pole sana kwa tatizo lililo kukuta, kwani mwanzoni ulimpendeani mpaka ukaamua akuoe? huenda ulichompendea kwa sasa hakipo au kimepungua uthamani wake. sikushauri uachane naye kwani hilo ni tatizo ambalo nina imani laweza kutatulika angalia kama nilivosema hapo juu angalia hayo mapungufu kama yanaweza kurekebishika jitahidi kufanya hivyo ama laa jaribu kuangalia wewe kubadilika na kuwa naye karibu huku, kumuacha kwaweza kukuletea matatizo hapo baadaye kuna mzee mmoja aliniambia mke au mume wa mwanzo si vizuri kuachana naye labda itokee sababu ya msingi sana. huyo mzee alimuacha mke wake wa kwanza kwa sababu ya uvivu, akaoa wa pili akawa mdokozi wa vitu vya ndani akamuacha na kuoa wa tatu naye akawa haishi kila siku kusutwa mwishowe aliamua kumrudia yule wa kwanza na bahati nzuri alimkuta bado hajaolewa.

matatizo hayakosi mvumilie huku ukitafuta suluhisho na si kuachana naye.

Kila la heri
 
Hahaha! Wakati huo huo tukiwasalimu BWANA ASIFIWE hamuitiki kwa kuwa sisi ni watu wa MATAIFA? Kuna majitu mengine hata YESU mwenyewe alinawa mikono. Hukumbuki kuna limoja lilisulubiwa pamoja naye msalabani lakini bado likakomaa? Kama watu wa namna hiyo anawapenda mbona haku-deal na hilo aende nalo mbinguni? Divinity ni Vocabulary kwenye kichwa changu, japokuwa nililamba ka A kazuri kwenye National Exams.

Utanitambuaje kama nimeokooooka! Utanitambuaje kama namuheshimu Yesu, mateeeeeeeeeeendo tazama matendo yangu! Bwana asifiwe isiwe sababu yakusema mimi namwamini Mungu,Utanitambuaje ???????????
 
Habarini za Mchana ndugu wapendwa.

Natumaini wote ni wazima wa afya inshalaah.

Kwa kifupi Nina rafiki yangu mpendwa (Msichana) ana tatizo ambalo kwa kweli mi sijui hata nimsaidiaje, ni meona si vibaya kuliweka hewani tukasaidiana mawazo.

Ni binti mwenye umri wa miaka 23 tatizo lake kubwa hajawahi katika maisha yake yote toka avunje ungo kujiskia hamu ya kufanya mapenzi. Ana mpenzi ila mara nyingi wakiwa faragha huwa kama anamfurahisha mwezake kwa sababu hana anacho jiskia hata aguswe wapi. Mara ya kwanza kunieleza mi nilimshauri aende hospitali akaonane na dakatari wa wanawake huenda Homoni za kike zikawa zimepungua au akagundulika tatizo lingine lolote linalo weza kusababisha hiyo hali; Nashukuru Mungu kwani alinisikiliza na kwenda hospitali ya regency ila majibu yalipo toka alionekana kila kitu kiko normal.

Sasa sijui hata nimsaidiaje coz kuna kipindi nilimuuliza kama huwa anaota ndoto za mapenzi mara kwa mara kwa sababu nilisha wahi kusikia hata kusoma kwenye vitabu kuwa kama una Jini Mahaba basi kuna uwezekano hali kam yake ikajitokeza; ila ilinihakikishia kuwa hajawahi hata siku mwoja kuota ndoto za namna hiyo. Jamaa yake anampenda sana na hivi majuzi jamaa ansema anataka kuja kutoa posa ili ajichukulie jumla jumla anahisi atateseka sana kwenye ndoa coz hata pata hiyo raha ya chakula cha ndoa.

Naomba tumsaidie jamani afanyaje??
 
Mimi binafsi siamini kama kuna kitu kama Jini Mahaba au popobawa ila nishasikia watu wanazungumzia sana mambo kama hayo!! Nilishawahi kusikia kuwa haya majini mengine huwa watu wanayaota yakifanya mapenzi nayo usiku kucha (na inamaana hatupata mume n.k) lakini matatizo haya yanaondoka baada ya kuombewa.

Cha muhimu mshauri rafiki yako asali na kumuomba mungu sana...naamini atamsaidia.
 
..........Kuna vitu vinavyomkosesha mtu kufanya mapenzi hasa kwa sisi wanawake, utakuta huyo rafiki yupo busy na kazi au masomo. Vile vile utakuta ni hofu ya Mungu kufanya mapenzi nje ya ndoa.
......Mimi hiyo hali ilishawahi kunitokea, nilikuwa busy sana na kitabu na maisha kwa ujumla, utakuta mwili unachoka hata hamu huwezi kuhisi. Hofu ya Mungu vile vile kwa penzi la kuibia, raha ya penzi mtu uwe huru mawazo yako yote uweke pale.
Inabidi umuulize vizuri rafiki yako, labda yupo busy pia au hofu tu ya dhambi ya uasherati.Umri huo ndio wenyewe kwa hamu,hivyo huyo mchumba wake amuoe tu akiingia kwenye ndoa atakuwa na hamu tu.
 
Ama nilikuwa sijui kumbe wanawake nao husikia hamu ya kumegwa mi nilifikiri ni wanaume tu wanaokuwa na ugwadu wa kumega itabidi nikimmega dame naye anilipe bana,kwani kumbe utamu ausikie na hela nimpe sasa niwakati wa wanaume kuanza kulipwa wakimega dame
 
Huyo ana tatizo
la kisaikolojia zaidi.....

Cha kufanya ni kuanza kubadilisha mtazamo wake

kuhusu sex,

nashauri atembelee mtandao wa dinahicious
au mitandao kama hiyo...
 
..........Kuna vitu vinavyomkosesha mtu kufanya mapenzi hasa kwa sisi wanawake, utakuta huyo rafiki yupo busy na kazi au masomo. Vile vile utakuta ni hofu ya Mungu kufanya mapenzi nje ya ndoa.
......Mimi hiyo hali ilishawahi kunitokea, nilikuwa busy sana na kitabu na maisha kwa ujumla, utakuta mwili unachoka hata hamu huwezi kuhisi. Hofu ya Mungu vile vile kwa penzi la kuibia, raha ya penzi mtu uwe huru mawazo yako yote uweke pale.
Inabidi umuulize vizuri rafiki yako, labda yupo busy pia au hofu tu ya dhambi ya uasherati.Umri huo ndio wenyewe kwa hamu,hivyo huyo mchumba wake amuoe tu akiingia kwenye ndoa atakuwa na hamu tu.
There are no standard treatments for a reduced interest in sex. For women with little sexual desire it is sometimes enough to have a few conversations in which they can express their feelings and ask questions about the extent to which their situation is abnormal.

Counselling about reduced desire in stressful situations like death, unemployment, being childless, disease of the partner or stress at work may be sufficient. If all sexual interest has disappeared, and there is no masturbation either, the hormonal regulation should be examined. When anomalies in this are found, medication can be prescribed.

Depending on the causes of the complaints, a treatment will be set up. Physical causes are also treated depending on the cause. The lack of interest in making love due to certain medication may be treated by using other medication or another dose. Psychological causes can best be determined and treated by a sexologist.

Psychotherapy, that studies and treats the psychological causes, can be important in this. It is important to understand that thoughts often go through the mind while making love which negatively influence the interest in sex. Social influences e.g relation problems, stress at work, etc. are treated by relation therapy or psychotherapy.
 
Baada ya wife kujifungua miezi kadhaa iliyopita, nimejikuta sina hamu nae kabisa. Nifanye nini niwe kama zamani?
 
Baada ya wife kujifungua miezi kadhaa iliyopita, nimejikuta sina hamu nae kabisa. Nifanye nini niwe kama zamani?
bamushka weka wazi,unasikia kinyaa,maana kuna mavitu ya ajabu huwa yanatoka mara baada ya kujifungua,usimfanye hivyo bwana nafikiri hiki ndio kipindi unahitaji kumuonyesha love zaidi kabla hajazaa
 
Huna hamu ya kufanya mapenzi na wife au huna ya hamu kufanya mapenzi kabisa?
Isijekuwa unataka kuanza mambo ya infidelity
 
Back
Top Bottom